Iran yasimamisha mauaji ya waandamanaji walihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa hofu ya kushambuliwa na Marekani

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara moja. Baada ya tishio la kushambuliwa kijeshi na Marekani, Iran imefuta mara moja utekelezaji wa mauaji hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema kuwa watu hao hawatanyongwa leo wala kesho au siku yoyote.

Kutokana na usitishaji wa mauaji hayo Rais Trump amesimamisha mpango wa kuishambulia Iran kijeshi kwa sasa, lakini akasema hawajafuta moja kwa moja, wanaendelea kufuatilia.

Mungu ambariki Trump kwa kuokoa uhai wa hawa waliotakiwa kunyongwa leo, na wale ambao wangefuatia. Maana waliokamatwa na kujazwa magerezani kusubiria hukumu, ni zaidi ya waandamanaji elfu 10.
Iran kupitia Waziri wake wa Mambo ya nje, imeomba mazungumzo na Marekani, na kusema kuwa busara itumike kuliko kuchagua njia yenye madhara mabaya. Wakati huo huo, baada ya Rais Trump kusema kuwa wamesitisha mpango wa kuishambulia Iran, Iran imetangaza kufungua anga lake baada ya kulifunga tangu jana.

Iran's stopped killing protesters, Trump says he has been told​

Donald Trump says he has been assured the killing of Iranian protesters has been halted, while adding he will “watch it and see”.

The president said at the White House that “very important sources on the other side” had also now assured him that Iranian executions would not go ahead, Agence France-Presse is reporting.

“They’ve said the killing has stopped and the executions won’t take place,” Trump said.

There were supposed to be a lot of executions today and that the executions won’t take place – and we’re going to find out.
Asked if US military action was now off the table, Trump replied: “We’re going to watch it and see what the process is.”

As reported earlier, Iranian foreign minister Abbas Araghchi later told Fox News that “hanging is out of the question”, saying there would “no hanging today or tomorrow”.

“I can tell you, I’m confident that there is no plan for hanging,” he said, while accusing Israel of orchestrating violence, without providing evidence.
  • Iranian foreign minister Araghchi insisted the situation was “under control”, and urged the US to engage in diplomacy. “Now there’s calm. We have everything under control, and let’s hope that wisdom prevails and we don’t end up in a situation of high tension that would be catastrophic"
 
Halafu kuna watu wanasema wazungu hawana utu, asee

Hayo maneno anasema watu wasiojitambua, lakini Waarabu wenyewe wanafahamu kuwa wakombozi wao ni wazungu. Kila kukitokea machafuko, kukitokea watawala wao wanataka kuwaua, waarabu wanakimbilia kwa wazungu, hawakimbilii kwa waarabu wenzao wa mashariki ya kati, wala kwa waarabu njaa wa Afrika ya Kaskazini. Leo hii **** wairan karibia milioni 2 USA, na karibia miioni 1 Ulaya. Hivyo hivyo kwa mataifa mengine ya Kiarabu ambayo makundi ya kigaidi ya Hezibollah na Houth yana dominance.
 
Kufuatia Agizo la dikteta Ayatollah kuwa kesi za waandamanji waliokamatwa ziende haraka na wahalifu wapate adhabu wanayostahili, zoezi la kuwanyonga waandamanaji waliokuwa wamekamatwa lilitakiwa lianze leo nchini kote. Kutokana na taarifa hiyo Marekani ilijiandaa kuingilia kati kijeshi mara moja. Baada ya tishio la kushambuliwa kijeshi na Marekani, Iran imefuta mara moja utekelezaji wa mauaji hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Iran amesema kuwa watu hao hawatanyongwa leo wala kesho au siku yoyote.

Kutokana na usitishaji wa mauaji hayo Rais Trump amesimamisha mpango wa kuishambulia Iran kijeshi kwa sasa, lakini akasema hawajafuta moja kwa moja, wanaendelea kufuatilia.

Mungu ambariki Trump kwa kuokoa uhai wa hawa waliotakiwa kunyongwa leo, na wale ambao wangefuatia. Maana waliokamatwa na kujazwa magerezani kusubiria hukumu, ni zaidi ya waandamanaji elfu 10.
Iran kupitia Waziri wake wa Mambo ya nje, imeomba mazungumzo na Marekani, na kusema kuwa busara itumike kuliko kuchagua njia yenye madhara mabaya. Wakati huo huo, baada ya Rais Trump kusema kuwa wamesitisha mpango wa kuishambulia Iran, Iran imetangaza kufungua anga lake baada ya kulifunga tangu jana.

Iran's stopped killing protesters, Trump says he has been told​

Donald Trump says he has been assured the killing of Iranian protesters has been halted, while adding he will “watch it and see”.

The president said at the White House that “very important sources on the other side” had also now assured him that Iranian executions would not go ahead, Agence France-Presse is reporting.

“They’ve said the killing has stopped and the executions won’t take place,” Trump said.

Asked if US military action was now off the table, Trump replied: “We’re going to watch it and see what the process is.”

As reported earlier, Iranian foreign minister Abbas Araghchi later told Fox News that “hanging is out of the question”, saying there would “no hanging today or tomorrow”.

“I can tell you, I’m confident that there is no plan for hanging,” he said, while accusing Israel of orchestrating violence, without providing evidence.
  • Iranian foreign minister Araghchi insisted the situation was “under control”, and urged the US to engage in diplomacy. “Now there’s calm. We have everything under control, and let’s hope that wisdom prevails and we don’t end up in a situation of high tension that would be catastrophic"
Inasikitisha kuona watu wakiamini kila kitu kinaxhosemwa na trump ni kweli kama vile kimetoka mwa Yesu 🤣🤣

Trump hapo anawaacha kisanii wote aliowaaminisha kuwa anakwenda kuipiga Iran kwa mauwaji yaliyotokea. Iran huko imedindisha na Trump ameshanywea
 
Pamoja na yoote ila America kuna watu wanaiona kama Burundi ila wale jamaa hawafai hata kidogo ruka ruka weeee wakikukalia mezani asali utaiona kama mkojo
 
Inasikitisha kuona watu wakiamini kila kitu kinaxhosemwa na trump ni kweli kama vile kimetoka mwa Yesu 🤣🤣

Trump hapo anawaacha kisanii wote aliowaaminisha kuwa anakwenda kuipiga Iran kwa mauwaji yaliyotokea. Iran huko imedindisha na Trump ameshanywea

Ina maana una tatizo la kushindwa kusoma vizuri, au huelewi Kiingereza vizuri? Hiyo ni taarifa yenye maneno ya Trump na maneno ya Serikali ya Iran.

Trump hakudhamiria kuivamia Iran kwa sababu ya mauaji yaliyotokea wakati wa maandamano, bali kwa sababu ya mauaji yaliyopangwa kutekelezwa leo kwa wale walikuwa mahabusu baada ya kukamatwa wakati wa maandamano, na hao ni wengi maradufu ya wale waliouawa wakati wa kuandamana.

Wengi inaonekana ni watupu sana kwenye masuala haya ya kijeshi. Iran haina historia yoyote ya military superiority. Mapigano yake dhidi ya Iraq, yalichukua miaka 10 bila ya kupatikana mshindi. Kuna vita gani Iran ilipigana ikadhihirisha uwezo wake wa kijeshi kuwa ni mkubwa? Wakati wote Iran imekuwa ikiyatumia makundi ya kigaidi kama Hezbollah, kudhoofisha serikali za nchi majirani zake, lakini siyo yenyewe kuingia vitani. Na hayo makundi, licha ya kuoewa promo kubwa, yamekuja kuthibitika si chochote. Iran, zaidi ya kumiliki makombora ambayo yamekuwa yakitengenezwa kwa usaidizi wa Urusi na North Korea, haina cha pekee katika Ulimwengu wa vita. Sawa tu na North Korea. Angalia wanajeshi wa North Korea walichofanyiwa walipoingia Ukraine.

Iran imeelekeza nguvu zake kwenye makombora kwaajili ya kujihami kwa sababu inajua ina maadui wengi Mashariki ya kati kutokana na siasa zake dhidi ya majirani zake. Makombora yake yote hayana uwezo wa kwenda mbali nje ya Mashariki ya kati.
 
🤣🤣🤣🤣 Unajisahaulisha sana, kwani trump hakusema endeleeni kuandamana na kufanya uharibufu ukombzi wenu unakuja?
 
Mipango ya marekani na Israel kuishambulia Iran haikupangwa Jana, ndiyo maana hata kansela wa ujerumani kasema siku za utawala wa ayatollah zimeisha
Kwa akili yako marekani atahangaisha majeshi yake kisa kuna mtu anataka kunyongwa!?..muwe mnatumia akili
Wapalestina 70+k wameuawa Gaza,mbona hajaizuwia Israel kama Wana utu badala yake ndiyo waliwapa silaha!?
 
Siku zimesogezwa mbele....................................................
Wanaharakati wanaishutumu Iran kwa kuficha idadi halisi ya watu walionyongwa
 
Tumeona utu wao Gaza toka lini muabudu msalaba akawa na utu. Huko US wanauliwa watu bila kosa hamkuona au mnajitoa fahamu
Wanaotoa chakula na msaada GAZA ni waarabu? Misaada na mashirika yote ya Kiutu Gaza yanapata pesa kutoka kwa wazungu, waarabu wanafadhili Hamas ili uharibu utokee.
Haya ni baadhi ya mashirika hayo:
1 UNRWA – Msaada wa wakimbizi wa Kipalestina (elimu, afya, chakula)
2 UNICEF – Watoto (chanjo, lishe, maji)
3 MSF / Madaktari Bila Mipaka – Huduma za afya na dharura
4 ICRC / Red Cross – Huduma za kibinadamu, majeruhi, wafungwa
5 Oxfam – Maji, usafi, msaada wa maisha
6 Save the Children – Watoto na familia
7 CARE International – Misaada ya dharura na wanawake
8 Norwegian Refugee Council (NRC) – Wakimbizi, makazi, msaada wa kisheria
9 Action Against Hunger (ACF) – Lishe na njaa
10 World Vision – Watoto na jamii
 
Moja kati ya mambo yanachangia kumomonyoka kwa umoja wa kitaifa nchini Iran ni hukumu za rejareja za kuuwawa.
Hakuna mtu asiye na familia ndugu jamaa hata marafiki ikiwa utauwa mmoja unaweza pandikiza chuki ya kisasi katika familia na jamaa waliobaki Duniani hii itapelekea wimbi kubwa la raiya wenye kisasi na kinyongo juu ya utawala huo. Hivyo kupelekea kuibuka kwa ghasia za mara kwa mara na kupelekea kuwa na idadi kubwa ya waasi wanaungamkono adui yoyote wa serikali hivyo utawala utakuwa na mianya mingi ambayo ikitumiwa na adui itakuwa raisi kuangushwa ...
 
Back
Top Bottom