Iran yaonya, Iwapo Shauri la Nuclear litarudishwa ksenye baraza la usalama na kuwekewa vikwazo basi itajitoa kwenye mkataba wa NPT

Wakati ule wa mchakato wa mfumo wa kifedha wa EU na Iran ili ku-bypass vikwazo vya Marekani tulibishana sana hapa Jukwaani nikiwaambia kuwa huo mfumo utakufa kifo cha mende kabla haujaanza kazi wakabisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lazima tukubali tu, hizi nchi za EU bado ziko chini ya himaya ya Marekani na haziwezi kufanya chochote bila idhini ya Washington.

Iran inapumbazwa tu kwamba itasaidiwa ila ni ngumu sana labda baada ya uchaguzi wa Marekani na apatikane Rais mpya toka chama cha democrat.
 
Na ndio maana ili dunia nzima tuheshimiane nashauri kila nchi iwe na makombora ya Nukes,hapo ubabe wa kijinga jinga utaisha.

dodge
 
Mkuu lazima tukubali tu, hizi nchi za EU bado ziko chini ya himaya ya Marekani na haziwezi kufanya chochote bila idhini ya Washington.

Iran inapumbazwa tu kwamba itasaidiwa ila ni ngumu sana labda baada ya uchaguzi wa Marekani na apatikane Rais mpya toka chama cha democrat.
Hili naliamini kabisa,juzi hapa nilisoma sehemu kuwa Gazprom wameisitisha ule mradi wa lile bomba la Gas kwenda Ulaya hii ni baada ya Ulaya hasa Ujerumani kuzidiwa na shinikizo la Marekani kuachana na huo mradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusonga mbele kwenda wapi,na kwanini alielie EU imsadie hela za kufidia kutokuuza Mafuta nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww taifa lako ambalo halina vikwazo na linapokea mabilioni ya pesa za misaada mbona uchumi wake haufiki hata nusu ya uchumi wa jiji la Teheran tu?hata taifa lenu teule mbona halija weza kuipita Iran kiuchumi licha ya kupokea mabilioni ya dora za misaada kutoka nchi za magharibi?alafu unaongea bila hata aibu eti anasonga mbele kwenda wap?
Alafu ni wapi ambapo Iran ameomba hela sijui kufidia mauzo ya mafuta.
Iran anacho taka ni auze mafuta yake bila usumbufu na si vinginevyo.
 
Kusonga mbele kwenda wapi,na kwanini alielie EU imsadie hela za kufidia kutokuuza Mafuta nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haa bibi yako Netanyau juzi alikuwa ana lalamika ya kwamba mwaka huu Iran anaweza kimiliki silaa za nukilia iwapo atataka kufanya hivyo.
Alafu ww mla ugali kutoka kondoa unasema hatopata hizo silaa kweli wabongo nimewanyoshea mikono.
 
Back
Top Bottom