Iran yaonya, Iwapo Shauri la Nuclear litarudishwa ksenye baraza la usalama na kuwekewa vikwazo basi itajitoa kwenye mkataba wa NPT

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,439
50,960
Ngoma inogile: Hapa Iran ni kama inatangaza kuwa iwapo vikwazo vitarudishwa basi sasa itakwenda Kulijenga kweli bomu la Nyuklia, kama mbwai iwe mbwai.

****************************************
Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif
Zarif: Iran will quit NPT if nuclear issue referred to UN
Despite threat, Tehran says it has not ruled out talks to end row over violations of 2015 international agreement after Britain, France, and Germany trigger a dispute mechanism, citing Iranian breaches; move starts a diplomatic process that could lead to United Nations sanctions being reimposed


If Iran is reported to the United Nations Security Council over its nuclear activity, then Tehran will withdraw from the Non-Proliferation Treaty (NPT), Iranian Foreign Minister Mohammad Javad Zarif said on Monday, according to the official IRNA news agency.
Follow Ynetnews on Facebook and Twitter
"If the Europeans continue their improper behavior or send Iran's file to the Security Council, we will withdraw from the NPT," IRNA quoted Zarif as saying.
His comments came as a Foreign Ministry official said that the country had not closed the "door to negotiations" in efforts to resolve a dispute over its nuclear agreement with world powers that has escalated steadily since the United States withdrew from the deal in 2018.
Foreign Ministry spokesman Abbas Mousavi said any further move by Tehran to scale back its commitments to the deal would depend on actions by other parties after European states triggered a mechanism that could lead to the reimposition of UN sanctions.
Iran has gradually stepped back from its obligations to the 2015 deal, under which Tehran secured sanctions relief in return for limiting its nuclear work after Washington quit the agreement and then imposed stringent U.S. sanctions.
Britain, France, and Germany, also signatories to the pact, triggered a dispute mechanism this month, citing Iranian violations. This starts a diplomatic process that could lead to UN sanctions being reimposed.

"Tehran still remains in the deal... The European powers' claims about Iran violating the deal are unfounded," Mousavi told a weekly news conference in Tehran, saying that the "door to negotiations" had not been closed.
"Whether Iran will further decrease its nuclear commitments will depend on other parties and whether Iran's interests are secured under the deal," Mousavi said.
U.S. President Donald Trump withdrew from the deal and began a policy of "maximum pressure" on Iran, saying he wanted a new deal that would cover nuclear issues, Iran's ballistic missile program, and Iranian activities in the Middle East.
Britain has said a "Trump deal" could replace the 2015 agreement and France has called for broad talks to end a crisis with the United States, which briefly erupted into tit-for-tat U.S.-Iranian military action this month.
Mousavi repeated Iran's rejection of a "Trump deal." Iranian officials have said Trump could not be trusted, so such a deal would not have any value.
 
Iran anajua kuwa hilo shauri likirudi Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa ndio inakula kwake mazima,maana kwenye ule Mkataba wao unasema kabisa Iran akishindwa kufuata makubaliano yaliyomo shauri likirudishwa UNSC litapigiwa Kura na wajumbe wote 15 bila Kura yoyote ya Veto kutumika ili kurudisha vile vikwazo vya UN kabla ya huo Mkataba kusainiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran said it will retaliate. It did

It said it will not use proxies. It didn't

It said it'll target military assets. It did

Message is clear: They will do what they say

Now they say they'll target all US bases in the region if Trump escalates further.

Take them at their word

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran anajua kuwa hilo shauri likirudi Baraza la Usalama wa Umoja wa Mataifa ndio inakula kwake mazima,maana kwenye ule Mkataba wao unasema kabisa Iran akishindwa kufuata makubaliano yaliyomo shauri likirudishwa UNSC litapigiwa Kura na wajumbe wote 15 bila Kura yoyote ya Veto kutumika ili kurudisha vile vikwazo vya UN kabla ya huo Mkataba kusainiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Iran kaishi na vikwazo miaka mingapi na anazidi kusonga mbele kama kawa?
 
Yaani Marekani avunje mkataba
EU wasuesue kuipa Iran benefits za mkataba
Lakini Iran eti iendelee kutekeleza mkataba
Umewahi kuona wapi uwendawazimu wa hivyo?
Hao EU wenyewe ni tegemezi mno kwa Marekani wanachofanya ni kujaribu kuwabembeleza Iran waendelee kutekeleza mkataba ila kiuhalisia hawana uwezo wowote wa kuisaidia Iran ipunguze au iepukane na makali ya vikwazo.
 
Hao EU wenyewe ni tegemezi mno kwa Marekani wanachofanya ni kujaribu kuwabembeleza Iran waendelee kutekeleza mkataba ila kiuhalisia hawana uwezo wowote wa kuisaidia Iran ipunguze au iepukane na makali ya vikwazo.
Wakati ule wa mchakato wa mfumo wa kifedha wa EU na Iran ili ku-bypass vikwazo vya Marekani tulibishana sana hapa Jukwaani nikiwaambia kuwa huo mfumo utakufa kifo cha mende kabla haujaanza kazi wakabisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom