Iran yaomba msaada wa mkopo maana hali mbaya

Iran yaomba msaada wa mkopo maana hali mbaya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
IMF wamesema bado wanashauriana kuhusu hili ombi ila US ambaye ndiye mshirika mkubwa amesema Iran waachwe kwanza waendelee kuchezea kipodo cha Corona huko huko, watalifikiria baadaye.

========================
Iran has urged the International Monetary Fund (IMF) to approve a $5bn (£4bn) emergency loan to help fight the coronavirus, as its death toll neared 4,000.

President Hassan Rouhani warned that “there should be no discrimination” in approving requests.

The US reportedly opposes the loan, with officials saying Iran has sufficient funds at its disposal.

Mr Rouhani called the pressure campaign a “historic disgrace”.

President Donald Trump reinstated the US sanctions in 2018 in an attempt to force Iran’s leaders to renegotiate a nuclear deal with world powers, but they have so far refused.

Iran has been the country in the Middle East worst hit by Covid-19 virus, which has infected more than 1.4 million worldwide and claimed 82,000 lives.

On Wednesday, Iran’s health ministry reported the number of people who had tested positive in the country had increased by 1,997 to 64,586, and the death toll had risen by 121 and now stood at 3,993.

The ministry initially announced 67,286 cases and 4,003 deaths, but later revised down the figures.

Last month, the Central Bank of Iran requested a $5bn loan from the IMF’s Rapid Financing Initiative, an emergency programme set up to help countries faced with sudden shocks such as natural disasters.
The IMF has said it is in talks with officials in Iran to determine its eligibility for the loan.

However, the Wall Street Journal reported on Wednesday that the US - the IMF’s largest shareholder - planned to block the request.

It cited senior Trump administration officials as saying that Iran’s government had billions of dollars in bank accounts still at its disposal, and that the loan might be used to help its economy rather than on combating Covid-19 or fund terrorist operations.

At a cabinet meeting on Wednesday, President Rouhani said ran expected international organisations to “act on their legally binding duties” at a time of crisis.

“We are a member of the International Monetary Fund,” he said. “We made a request for loan from them and if they exercise discrimination between Iran and other countries, it is clear that neither we, nor global public opinion will tolerate that,” he added.

Iran appeals for loan as virus deaths near 4,000
 
Mtoa post unajisikiaje unapoona wanadam wenzako wanakufa kisa mtu fulani mwenye nguvu amekataa tauifa fulani wasipate mkopo kulinda uhai wa raia wake. Hua ninajiuliza ustaarabu na akili unapeleka wapi..

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali linaanza kwenye, kwanini anyimwe mkopo, kuna masharti na vigezo, kuna mambo lazima atimize, mojawapo ikiwemo kuacha kufadhili magaidi wa kidini wanaoua watu, pili aache maandalizi ya mabomu ya nyuklia maana yeye anafahamika mbichwani mwake huwa kuna chuki na hasira dhidi ya Israel, aliwahi kutamani wafutwe kwenye ramani ya dunia, hivyo hapaswi kuwa na aina hiyo ya silaha, ni kama kumpa kichaa rungu.

Hivyo kwa sasa ataachwa ajikaange na hii Corona mpaka atie akili, raia wake wakichoka watamshinikiza alegeze shingo aache kushupaza, na hapo atakumbatiwa na dunia.
 
Marekani anaua watu wangapi kila siku na mabomu yake? Mbona yeye hawekewi vikwazo asitengeneze silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani anaua watu wangapi kila siku na mabomu yake?? Mbona yeye hawekewi vikwazo asitengeneze silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Zile hela alizotumia juzi kurusha Satellite angezipeleka kwenye Corona,hao Iran hawana tofauti na Jiwe. Wananchi wako wanateseka wewe unaenda kuwekeza kwenye mindege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje kwa JIWE awakopeshe
Swali linaanza kwenye, kwanini anyimwe mkopo, kuna masharti na vigezo, kuna mambo lazima atimize, mojawapo ikiwemo kuacha kufadhili magaidi wa kidini wanaoua watu, pili aache maandalizi ya mabomu ya nyuklia maana yeye anafahamika mbichwani mwake huwa kuna chuki na hasira dhidi ya Israel, aliwahi kutamani wafutwe kwenye ramani ya dunia, hivyo hapaswi kuwa na aina hiyo ya silaha, ni kama kumpa kichaa rungu.

Hivyo kwa sasa ataachwa ajikaange na hii Corona mpaka atie akili, raia wake wakichoka watamshinikiza alegeze shingo aache kushupaza, na hapo atakumbatiwa na dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo kwa sasa ataachwa ajikaange na hii Corona mpaka atie akili, raia wake wakichoka watamshinikiza alegeze shingo aache kushupaza, na hapo atakumbatiwa na dunia.
Unaona upande mmoja tu kwa nini Iran wanatamani kuishambulia Israel, ushawahi kujiuliza WHY Iran inataka kufanya hicho kitu!? kwanini unaangalia upande mmoja tu wa coin? Hivi kinachofanywa na
Israel kule Palestine kinakufurahisha!?
 
we jamaa sikuwahi kufikiria kua ni mjinga/ mpumbavu (ashakum si matusi) kiasi hiki.... kumbe kichwani mwako umejaa kamasi? unaona upande mmoja tuu kwann iran wanatamani kuishambulia israel, ushawahi kujiuliza WHY iran inataka kufanya hicho kitu!? kwann unaangalia upande mmoja tuu wa coin? Hivi kinachofanywa na israel kule Palestine kinakufurahisha!? JINGA KWELI WEWE.

Unapotamani nchi nyngine ifutwe kwenye ramani ya dunia, haijalishi sababu zako zitakua zipi, unapaswa upigwe kichapo cha mbwa koko.

Kumbuka huko Israel kunao hata watu wa dini yenu hii inayosababisha utokwe povu, na wao watauawa ikifutwa kwenye ramani.
 
we jamaa sikuwahi kufikiria kua ni mjinga/ mpumbavu (ashakum si matusi) kiasi hiki.... kumbe kichwani mwako umejaa kamasi? unaona upande mmoja tuu kwann iran wanatamani kuishambulia israel, ushawahi kujiuliza WHY iran inataka kufanya hicho kitu!? kwann unaangalia upande mmoja tuu wa coin? Hivi kinachofanywa na israel kule Palestine kinakufurahisha!? JINGA KWELI WEWE.

Iran anataka kuifuta Israeli sababu kuu Ikiwa ni Dini yao ya Uislamu haitaki kabisa uyahudi hapo mashariki ya kati.
 
Mtunga post acha uongo, unaanza kulialia, Kesho kutwa tunarusha tena Sattelite nyengine 2, jitaarishe kujinyonga na post zako kutoka magapzeti ya telaviv maana hio habari hakuna ata chombo kimoja, mm nimeona jana taarifa inayosema MAGAIDI WA MAREKANI WAKISHAMBULIA MELI ZA IRAN IWE YA KIJESHI AMA ISIO YA KIJESHI BASI IRANI ITASHAMBULIA BASE 400 NDANI YA MASHARIKI YA KATI NA ULAYA MUDA WA DAKIKA CHACHE TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post unajisikiaje unapoona wanadam wenzako wanakufa kisa mtu fulani mwenye nguvu amekataa tauifa fulani wasipate mkopo kulinda uhai wa raia wake. Hua ninajiuliza ustaarabu na akili unapeleka wapi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela za kutengeneza makombora mbona hatusikii wakiomba?
Si wabadili tu matumizi😇
 
waendelee kuwanyima ila Hawatakaa Waachane na Mipango Yao Ya NYUKLIA na Karibuni Hivi Kabla Yakuisha Mwezi Mtukufu Wa Ramadhwan Ama Baada Ya KUISHA Kuna Satelite Nyengine Itaenda Huko OBIT

Kama Mtakua Mnawivu Mtajinyonga[emoji16] Halafu Huo Aloomba IRAN Sio Msaada Ni MKOPO wacha Kupotosha Umma. Nakama Mkopo Hata US Mfadhili Mkuu Waugaidi Namashoga Anadaiwa Tena Yeye Aliomba Kwamtu Binafsi Sio Shirika.

Sent using My COVID-19
 
Haaa yaan wakenya akili zenu mnazijua wenyewe, yaan unateseka na Iran, nikukumbushe kitu kimoja ni kwamba nchi yako kenya inahitaji miaka 100 ijayo ili kufikia maendeleo iliyo nayo sasa hivi.
 
Haaa yaan wakenya akili zenu mnazijua wenyewe, yaan unateseka na Iran, nikukumbushe kitu kimoja ni kwamba nchi yako kenya inahitaji miaka 100 ijayo ili kufikia maendeleo iliyo nayo sasa hivi.
facts
Ila sio miaka 100 nimiaka 1000

Sent using My COVID-19
 
Mtoa post unajisikiaje unapoona wanadam wenzako wanakufa kisa mtu fulani mwenye nguvu amekataa tauifa fulani wasipate mkopo kulinda uhai wa raia wake. Hua ninajiuliza ustaarabu na akili unapeleka wapi..

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitu anaclaim US Ni kwamba Iran inayopesa. Pesa za manuclear nakifadhili magaidi anazo ila kuhudumia raia wake Hana Ni kama huku kwetu pesa ya kununua mandege cash IPO ila kununua vifaa kwa wauguzi hamna. Ata Mimi nisingetoa watumie pesa iliyoko bank kwanza.

Wewe unamilion bank y kufanya staree alafu mtoto Wako anaumwa unanikopa 400,000 kumtibu sikupi bana hiyoo upunguze staree mtibu mtoto.
 
Kwani Wao Walivyokopa UCHINA Mabilioni Yapesa Walikua Hawana pesa ?!

Waache ubabaishaji mabwege wale.

Sent using My COVID-19
 
Back
Top Bottom