Tunaomba neno lako humu Boss wangu hamis77 , usiwe kimya sana mkuuBREAKING: Mshtuko Mkubwa kwa Trump uliotolewa na Iran FM ๐ฎ๐ท Abbas Araghchi ๐ฅ
๐บ๐ธ Trump saa 9:00 AM โโ "Iran imefungua Mlango-Bahari wa Hormuz bila masharti na pia watakabidhi uranium iliyorutubishwa kwa Marekani"
๐ฎ๐ท Iran saa 10:15 AM โโ ๐ฅ "Acha kusema uongo, uranium iliyorutubishwa ya Iran ni takatifu kwetu kama udongo wa Iran na haitahamishiwa popote chini ya hali yoyote. Pili, Hormuz itafunguliwa chini ya masharti
Ikiwa Marekani haitazuia kizuizi basi Iran itaifunga tena kama tulivyofanya hapo awali. Tutaendelea kufuatilia ukiukaji wa kusitisha mapigano"
Hakuna siku hata moja inayopita bila Trump kukamatwa akidanganya ๐ญ
View: https://x.com/amockx2022/status/2045234190543913089?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hawa wajinga wanameza kila uongo wa Magharib.๐
Hakuna kitu kibaya kama mihemko yani hata rangi iliyowazi unaweza kushindwa kuiona kutokana na kutamani kuona rangi tofauti na uhalisia.Hawa wajinga wanameza kila uongo wa Magharib.๐
Iran imeshinda.
Mlango-Bahari wa Hormuz umefunguliwa.
Mabilioni ya dola yaliyozuiliwa kinyume cha sheria na Iran yatarejeshwa Iran.
Kuondolewa kwa vikwazo vya Marekani kutaanza.
Ufaransa, Uhispania, Uingereza, Italia, Korea Kusini, Japani, na India ziko tayari kuanza biashara na Iran mara moja.
Hakuna kitu kibaya kama mihemko yani hata rangi iliyowazi unaweza kushindwa kuiona kutokana na kutamani kuona rangi tofauti na uhalisia.
Hivi vitu haviitaji elimu kuuubwa kuviona lakini kwakuwa ni kinyume na kile walichukuwa wanakitamani hawezi kuona kabisa.
Mimi sitaki kuongeza neno aione tu Boss wangu hamis77