Iran yamkamata 'Muzungu' anayechochea vurugu

Iran yamkamata 'Muzungu' anayechochea vurugu

Iran imemkamata raia wa ulaya ambaye anatuhumiwa kushiriki moja kwa moja kuwachochea baadhi ya wairan wachache kuleta vurugu nchini humo. Raia huyo inasemekana amekamatwa kwenye mji mdogo wa Borujerd nchini humo akihamasisha waandamaji. Utaifa wa raia huyo wa kigeni haukuwekwa wazi mara moja na mamlaka za nchi hiyo. Taarifa hii ni kwa mujibu wa RT.

Wakati huo huo waandamanaji wapatao zaidi ya elfu kumi (10,000) leo wamejimwaga mitaani nchini humo kuiunga mkono serikali ya Iran pamoja na kiongozi wake Mkuu, Ayatollah Khamenei.

Picha chini inaonyesha waandamanaji hao.


5a4cddebfc7e9352418b456f.jpg

Picha hii imepigwa leo katika mji mtakatifu wa Qom nchini Iran leo Januari 3, 2018. Mpiga picha ni Mohammad ALI MARIZAD wa AFP
===
Iran arrests European citizen ‘leading rioters’ – report
Hawa maisha kama ilivyo sasa LIBYA yanawaita,binadamu ni wagumu sana kujifunza
 
Huyo alikuwa anauza bible huko hakusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom