Iran yabadili mawazo ya kuzituma black box Ukraine, ikisema bado inajaribu kuchukua data zilizomo ndani

Mkuu hao wa Iran wameishangaza Dunia jamaaa wana shabaha iliyopitiliza!
Pia technology wapo mbali Sana Sana iyo ndege waliangusha kwa sababu wanazo juwa wao!
Hizi ndege za abiri hutumika kwa masuala ya upelelezi pia! Ndio maana zikibainika Dawa ni moja tu kuangushwa!
Ukiona wamesema hawakitowi juwa ni Salam izo!
Usizungumze kwa ujumla, technolojia yao ipo mbali ukilinganisha na taifa lipi? Iran wa kawaida tu tena alie nyuma yake ni Mrusi, sema kuna wakati wazungu wakitaka kukupiga huanza kukupa sifa za uongo kuwa ni taifa kubwa na la kutisha ila wapate sababu nzuri za kushambulia.All in all, Iran inanguvu za kawaida na haina ubavu kwa Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawapigani na Taifa la Iran, watapiga maslahi ya viongozi ikiwezekana kuwaua ili wafanye yao, hawana shida na raia wema wa kiajemi (labda ingekukuwa waarabu piga wote) =nimekuchokoza tu
Hao Viongozi Unahisi Wataweza Maana Soleiman Walimpata Sababu Alipenda Kujiweka mstari Wambele VITANI Kama wanaweza Wakakuue Ayatollah Seyyid Ali Khamenei Kama Wao Wanaume Kweli...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ya marekani haikuingiliwa alipigiwa simu ofisa mmoja anaeshughulika na usalama waa ndege hiyo na kuwaeleza kuwa kwenye hiyo ndege kuna bomu na sio kuingilia mifumo ya usalama wa hiyo ndege
Japo ndege ya Rais wa Marekani iliwahi ingiliwa na wakaambiwa kuna Bomu, wakahesabiwa hadi 0 ila hakuna kilichotokea,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Viongozi Unahisi Wataweza Maana Soleiman Walimpata Sababu Alipenda Kujiweka mstari Wambele VITANI Kama wanaweza Wakakuue Ayatollah Seyyid Ali Khamenei Kama Wao Wanaume Kweli...?!

Sent using Jamii Forums mobile app
rejea ilikuwaga ngumu kwa Saddam Hussein, Osama, nk, jaribu kutumia hata akili za kuazima, mauji ya General ambaye nadhani alikuwa mtu wa pili achana na huyo raisi ni moja ya kuuzohofisha huo uongozi, tulia waweza ona baadae
 
Alikua mtuwapili kwa nn

Saddam walimvamia wakamchomoa jambo ambalo kwa IRAN Hawatakaa Waweze Wala Kujaribu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ya marekani haikuingiliwa alipigiwa simu ofisa mmoja anaeshughulika na usalama waa ndege hiyo na kuwaeleza kuwa kwenye hiyo ndege kuna bomu na sio kuingilia mifumo ya usalama wa hiyo ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,sauti ilisikika kwenye radio system ya ndege tena ilikua inatoka anthens kwenda us na bill clinton alikua ndani ya ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana
unaelewa alafu unajitoa ufahamu, mtu wa pili akikohoa tu raisi anaitika, au kwakuwa marehemu unataka kumsusa?
Nenda kamsome vyema hem

Alikua mtu wapili kiushawishi ndani ya IRAN Ila Sio Kikajukumu Kama Unavyotaka Kuwadanganya Wanajukwaa

Unahisi Kama Angekua Mtu Wapili Kama Unavyo Iaminisha DUNIA Angekua Anapigana Front LINE Vitani

Nikujuze Tu MtuwakwanzaKimamlaka IRAN ni AYATOLLAH Akifuatiliwa Na RAIS Ambae Ndio Mtu Wapili

Kwahio Soleiman Alikua Rais wawapi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Nenda kamsome vyema hem

sijakuelewa alikuwa mtu wa pili mara kimajukumu hivi kishawishi vile, ukweli unaujua sema unamsusa kisa kafa na kwakweli hana majukumu tena, akohoi
 
Sikubaliani naye ila apa Duniani Muogope Mungu na technology !

Mimi nna kubaliana nae kuwa inawezekana ikawa kama alivyo sema ,Mtengenezaji/Mgunduzi yeyote anaweza kukuficha mambo kwa Faida yake na akakupatia tu uwezo flani wa kukitambua na kukitumia hicho alicho kiunda/gundua..

Wenzetu hawakuuzii tu kitu hivi hivi na kubaki na Faida ya Pesa peke yake ,wana hitaji pia kukudhibiti itakapo bidi.
 
Usizungumze kwa ujumla, technolojia yao ipo mbali ukilinganisha na taifa lipi? Iran wa kawaida tu tena alie nyuma yake ni Mrusi, sema kuna wakati wazungu wakitaka kukupiga huanza kukupa sifa za uongo kuwa ni taifa kubwa na la kutisha ila wapate sababu nzuri za kushambulia.All in all, Iran inanguvu za kawaida na haina ubavu kwa Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndicho wengi wamekisahau ref Ghadaf,Sadam na Ieo Ayotollah & Rouhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom