Urusi yasema makao makuu ya Black sea fleet yashambuliwa

ze kokuyo

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
7,418
9,599
Urusi imesema Ukraine imeshambulia makao makuu ya black sea fleet yaliyopo Crimea.

Inadaiwa Ukraine imetumia makombora ya Storm Shadow iliyopewa na Uingereza.
---
Russia says 19 Ukrainian drones downed over Crimea, Black Sea, and regions
Russia’s Ministry of Defence did not release information regarding possible casualties or damage in the latest air raid.

Russian aerial defence systems destroyed a wave of 19 Ukrainian drones that were launched overnight in attacks against targets in the Russia-annexed Crimean peninsula, the surrounding Black Sea and other regions of Russia.

The Russian defence ministry said early on Thursday that it had “thwarted” the attacks by Ukraine’s aircraft-type unmanned aerial vehicles (UAVs).

“In the night from 20th to 21st September, an attempt by the Kyiv regime to commit a terrorist attack with lethal drones on sites in the Russian Federation was intercepted,” the defence ministry said on the Telegram messaging app.

“Air defence systems destroyed 19 Ukrainian UAVs over the Black Sea and the territory of the Republic of Crimea, and one each over the territories of Kursk, Belgorod and Oryol regions,” the ministry said.

The Belgorod and Kursk regions of Russia border eastern Ukraine, while Oryol is closer to the capital, Moscow. The defence ministry provided no details on casualties or possible damage.

Kyiv has promised to recapture the Black Sea peninsula and Ukrainian forces have launched aerial attacks with increasing frequency on targets in Crimea, which was seized and annexed by Russia in 2014.
 
Urusi imesema Ukraine imeshambulia makao makuu ya black sea fleet yaliyopo Crimea.

Inadaiwa Ukraine imetumia makombora ya Storm Shadow iliyopewa na Uingereza.
Mbona haya mashambulizi hayasaidii kitu kwa sababu kila siku Ukraine anashambuliwa maeneo mbalimbali na makombora.mnatakiwa kujua urusi anajeshi kubwa sana haya mashambulizi hayawezi kurudisha urusi nyuma.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kama hayasaidii imekuaje Urusi kaanza kuhamisha meli zake na kuzipeleka Sea of Azov na nyingine Urusi?!
 
Sababu ipi tena?, Kwa Putin asiyeweza kukaa kwa amani na majirani zake. Alipovamia ukraine alikuwa meshambuliwa wapi?
Hashambulii maeneo ya serikali.wakati Ukraine wameanza.umeshawahi kusikia urusi imeshambulia,ikulu,wizara ya ulinzi au maeneo nyeti ya serikali?alafu nyie mnatakiwa kuamka kutoka usingizini ili mjue ukweli.urusi hawezi kukurupuka na kuvamia ndugu zake.kuna sababu kubwa sana na sio kwamba urusi anahitaji maeneo.ana nchi kubwa sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Mbona haya mashambulizi hayasaidii kitu kwa sababu kila siku Ukraine anashambuliwa maeneo mbalimbali na makombora.mnatakiwa kujua urusi anajeshi kubwa sana haya mashambulizi hayawezi kurudisha urusi nyuma.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kwani Ukraine imeanza kushambuliwa Leo?!

Urusi juzi Tu hapa katoka kupiga kombora kwenye soko na kuua raia kibao,sasa hivi ni zamu ya Urusi. Wavumilie Tu.
 
Hashambulii maeneo ya serikali.wakati Ukraine wameanza.umeshawahi kusikia urusi imeshambulia,ikulu,wizara ya ulinzi au maeneo nyeti ya serikali?alafu nyie mnatakiwa kuamka kutoka usingizini ili mjue ukweli.urusi hawezi kukurupuka na kuvamia ndugu zake.kuna sababu kubwa sana na sio kwamba urusi anahitaji maeneo.ana nchi kubwa sana.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mvamizi ni nani?.
 
MOSCOW, May 30. /TASS/. Russian President Vladimir Putin on Tuesday said the Russian military had hit Ukraine's military intelligence center.

"We have already mentioned the possibility of strikes against decision-making headquarters and centers. Of course, the Ukrainian military intelligence headquarters, which was hit two or three days ago, also falls into this category," Putin said during a visit to the Zotov Center, while answering a question from the head of the non-commercial organization Agency of Strategic Initiatives Svetlana Chupsheva regarding Tuesday’s UAV attack on Moscow.
Russia 2-3 days ago hit Ukraine’s military intelligence center — Putin
 
Back
Top Bottom