Iran yaapa kulipa kisasi kwa kuuliwa mwanasayansi wao

Hawa wao kila mara ni kuapa tu.
Ile mikwara ya kipindi kile alipouliwa yule kamanda wa jeshi nikajua mwisho wa dunia ndio umefika kumbe ilikua mkwara tu, wakaishia kushambulia kambi tupu za wanajeshi wa Marekani na kutungua ndege ya abiria. Iran sio watu wa kuwaamini sana
 
Kuna siku walizindua drone feki ambayo haina uwezo wa kupaa.
 
Jamaa hawana utani watalipa kweli kama waliyofanya kwa USA kambi zake wakalipua
Hawawezi kulipa kisasi kwa Israel nchi ya Iran wanaujua mziki wa Israel vizuri leo kamanda mwingine wa Iran na walinzi wawili nchini Syria wamekula shambulizi la anga kutoka AIF
 
Back
Top Bottom