T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,292
- 44,749
Umesema ndege imepigwa na air defense system ya Iran. Maana yake ilikuwa Iran.Umekuwa mkali hautaki ukweli, F-35 ni kopo
Bajeti ya dola trilion 1.5 miaka 30 ya kubuni F-35
Mpango wa silaha uliogharimu zaidi katika historia ya binadamu
Wazo lilikuwa ni moja tu adui hawezi kuiona
Mamaé jana, Iran kathibitisha ulikuwa mpango wa kitapeli
Lockheed na matapeli wenzake Northrop na BAE wamepiga kibunda wamesepa
Nakuuliza swali, hiyo ndege imeangukia wapi?