Iran yaangusha F-35 ya Kimarekani

Iran yaangusha F-35 ya Kimarekani

Hii habari nilikua nasubiri niiverify tayari media zote zimeverify CNN, ALJAZEERA na BBC

Hili ni pigo kubwa US kumbuka hii ndege gharama yake ni matrilioni ya pesa

Halafu jamaa wametumia mfumo w kawaida tu wa kiiran kuiangusha.

Tatizo la Wairan hayo mabaki watayachukua na soon watatoka na ya kwa Mpya wataaita "P-35"

TRUMP: "Iran’s air defense is gone, no one is even shooting at us anymore."

REALITY: Moments ago, CENTCOM announced that a U.S. F-35 fighter jet was struck flying over Iran, with a pilot injured...

For the first time in HISTORY, an American F-35 jet has been hit.

Iranian air defenses are hitting our best jets.

Trump said today all of Iran’s defenses are destroyed.

BREAKING: A Fifth Generation F-35 U.S. fighter jet was HIT over the skies of IRAN. An American soldier was injured as a result of the accident.

So much for the 'most advanced aircraft' in the world...

View: https://x.com/i/status/2034664031433150959

View attachment 3560222View attachment 3560223

Kwani pointi yako hapa ni nini mkuu? Iran ameshinda vita?
 
Hii imepigiwa kelele kuliko uhalisia wake 😄

Kwanza, taarifa kamili zinaonyesha ndege haikuangushwa, iliweza kutua salama na rubani yuko katika hali nzuri,

si “pigo kubwa” kama inavyopakwa chumvi, ni tukio la kawaida la kijeshi linalofanyiwa uchunguzi.

Video inayosambazwa na Iran ikiilenga F‑35 inaonekana imetengenezwa na AI, kama walichofanya siku chache zilizopita kutengeneza video za kushambulia meli za Marekani na kuzusha kifo cha Netanyahu.

Huwezi kulinganisha na Ayatollah kuweka rekodi ya kubamizwa ndani ya sekunde 40
Kuna 'search party' ya hiyo ndege huko Saudi Arabia,hizo habari za ilitua vizuri ni ku-dilute
 
Hii habari nilikua nasubiri niiverify tayari media zote zimeverify CNN, ALJAZEERA na BBC

Hili ni pigo kubwa US kumbuka hii ndege gharama yake ni matrilioni ya pesa

Halafu jamaa wametumia mfumo w kawaida tu wa kiiran kuiangusha.

Tatizo la Wairan hayo mabaki watayachukua na soon watatoka na ya kwa Mpya wataaita "P-35"

TRUMP: "Iran’s air defense is gone, no one is even shooting at us anymore."

REALITY: Moments ago, CENTCOM announced that a U.S. F-35 fighter jet was struck flying over Iran, with a pilot injured...

For the first time in HISTORY, an American F-35 jet has been hit.

Iranian air defenses are hitting our best jets.

Trump said today all of Iran’s defenses are destroyed.

BREAKING: A Fifth Generation F-35 U.S. fighter jet was HIT over the skies of IRAN. An American soldier was injured as a result of the accident.

So much for the 'most advanced aircraft' in the world...

View: https://x.com/i/status/2034664031433150959

View attachment 3560222View attachment 3560223

Imeangukia wapi?...
T14 Armata HIMARS njoo mchukue takataka lenu huku limedunguliwa
Haijaanguka bhana..

T14 Armata
 
Imeangukia wapi?...

Haijaanguka bhana..

T14 Armata
Imeanguka wapi tukaichukue?
Yaani hapo cha umuhimu sio kuanguka, skrepa lenu liko kambini linafuka moshi

Tunachoangalia ni uwezo wa air defense za Iran kudetect, kutrack, kulock na kuhit F-35

F-35 stealth fighter ya mchongo 😅

Kama Iran tu wameweza kuidetect na kui-hit vipi China na Russia?
 
Usiwe mbumbumbu. Umeulizwa ndege imeanguka wapi, jibu swali.
 
Hii imepigiwa kelele kuliko uhalisia wake 😄

Kwanza, taarifa kamili zinaonyesha ndege haikuangushwa, iliweza kutua salama na rubani yuko katika hali nzuri,

si “pigo kubwa” kama inavyopakwa chumvi, ni tukio la kawaida la kijeshi linalofanyiwa uchunguzi.

Video inayosambazwa na Iran ikiilenga F‑35 inaonekana imetengenezwa na AI, kama walichofanya siku chache zilizopita kutengeneza video za kushambulia meli za Marekani na kuzusha kifo cha Netanyahu.

Huwezi kulinganisha na Ayatollah kuweka rekodi ya kubamizwa ndani ya sekunde 40
Mlisema Iran haina Air defense tena na kwamba US inatawala anga sasa waliwezaje kuipiga hadi ikafanye emergency landing? Tuliambiwa hazionekani kwenye radar so hii inaprove kuwa ni uongo.
 
Kazi nzuri. Sasa Iran waongeze ulinzi kwa viongozi wao kama hawawezi hilo waje bongo tuwape hata Teeth kuwasaidia maana wanauwawa kama nzi.

"Msemaji wa IRGC auawa kwa shambulio la Anga, muda mfupi baada ya kumjibu Netanyahu"​

Bado hujasema mzee🤣 ndege inapigwa na air defense unasema imepata hitilafu hadi footage zimewekwa
Iranian outlets have published a statement by Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) confirming that Ali Mohammad Naini, the IRGC's spokesman, has been killed in a strike.

Naini held various high-ranking posts before becoming the IRGC's spokesman.

He previously served as a cultural adviser to the mayor and as deputy head of the Cultural and Social Department of Tehran Municipality in 2014, during the mayoralty of fellow IRGC veteran Mohammad Bagher Ghalibaf.

He was also former deputy commander of the paramilitary Basij Resistance Force for cultural affairs and former deputy commander of the IRGC for cultural affairs.
 
Usiwe mbumbumbu. Umeulizwa ndege imeanguka wapi, jibu swali.
Umekuwa mkali hautaki ukweli, F-35 ni kopo

Bajeti ya dola trilion 1.5 miaka 30 ya kubuni F-35

Mpango wa silaha uliogharimu zaidi katika historia ya binadamu

Wazo lilikuwa ni moja tu adui hawezi kuiona

Mamaé jana, Iran kathibitisha ulikuwa mpango wa kitapeli

Lockheed na matapeli wenzake Northrop na BAE wamepiga kibunda wamesepa
 
Back
Top Bottom