Iran yaangusha F-35 ya Kimarekani

Iran yaangusha F-35 ya Kimarekani

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,396
Hii habari nilikua nasubiri niiverify tayari media zote zimeverify CNN, ALJAZEERA na BBC

Hili ni pigo kubwa US kumbuka hii ndege gharama yake ni matrilioni ya pesa

Halafu jamaa wametumia mfumo w kawaida tu wa kiiran kuiangusha.

Tatizo la Wairan hayo mabaki watayachukua na soon watatoka na ya kwa Mpya wataaita "P-35"

TRUMP: "Iran’s air defense is gone, no one is even shooting at us anymore."

REALITY: Moments ago, CENTCOM announced that a U.S. F-35 fighter jet was struck flying over Iran, with a pilot injured...

For the first time in HISTORY, an American F-35 jet has been hit.

Iranian air defenses are hitting our best jets.

Trump said today all of Iran’s defenses are destroyed.

BREAKING: A Fifth Generation F-35 U.S. fighter jet was HIT over the skies of IRAN. An American soldier was injured as a result of the accident.

So much for the 'most advanced aircraft' in the world...

View: https://x.com/i/status/2034664031433150959

20260319_231215.jpg
20260319_231341.jpg
 
View attachment 3560222View attachment 3560223

Kakojoe ulale
 
Hii imepigiwa kelele kuliko uhalisia wake 😄

Kwanza, taarifa kamili zinaonyesha ndege haikuangushwa, iliweza kutua salama na rubani yuko katika hali nzuri,

si “pigo kubwa” kama inavyopakwa chumvi, ni tukio la kawaida la kijeshi linalofanyiwa uchunguzi.

Video inayosambazwa na Iran ikiilenga F‑35 inaonekana imetengenezwa na AI, kama walichofanya siku chache zilizopita kutengeneza video za kushambulia meli za Marekani na kuzusha kifo cha Netanyahu.

Huwezi kulinganisha na Ayatollah kuweka rekodi ya kubamizwa ndani ya sekunde 40
 
Hii habari ipo confirmed pia

Baada ya masaa machache kutoka kuangushwa F-35 ya kwanza

Iran imepiga F-35 nyingine na hii ni kusini mwa Iran

Mliokua mnasema F-35 ni stealthy kiko wapi?

Hii inaitwa Game changer....Mauzo share na hisa za F-35 zimeanza kuporomoka kwa kasi

View: https://x.com/i/status/2034752873444053265

View: https://x.com/i/status/2034696848632418731

View: https://x.com/i/status/2034743882496319927

View: https://x.com/i/status/2034746144748601579

Uongo wa nini? Imepata hitilafu
 
Wewe ndio muongo. IRANIAN haijawai kudai imemuuwa Netanyahu

Iran imetangaza kumsaka Netanyahu ili wamtoe rohoo

hakuna habari ya Iran kutangaza kifo lete!!!!??
 
Hii habari ipo confirmed pia

Baada ya masaa machache kutoka kuangushwa F-35 ya kwanza

Iran imepiga F-35 nyingine na hii ni kusini mwa Iran

Mliokua mnasema F-35 ni stealthy kiko wapi?

Hii inaitwa Game changer....Mauzo share na hisa za F-35 zimeanza kuporomoka kwa kasi

View: https://x.com/i/status/2034752873444053265

View: https://x.com/i/status/2034696848632418731

View: https://x.com/i/status/2034743882496319927

View: https://x.com/i/status/2034746144748601579

Daaa Wairani hatari sana yani wanazipopoa kama maembe kisuju!!!

Israel na Marekani wangeomba poooo tu wanadhidi kuumbuka mbele macho yetu!!!
 
Back
Top Bottom