Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ngoja ni kaangalie ramani nione umbali wa Pakistan to iran na kinyumechePakistan's air defense did not respond to Iranian missiles.
Hii taarifa hata mimi imenishangaza sana.Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Soma taarifa vizuri mbona ipo wazi sababu imewekwaPakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Mbona Ukraine na Urusi wanapigana wote si ni waothodox?Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Hajaipiga nchi kapiga makao makuu ya magaidi walioshambulia kwakePakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Iran ni Shia, Pakistan ni Sunni wanaoshirikiana na Marekani.Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Uliza alichofanyiwa Fatema baada ya baba yake kutangulia! Kuinukiana kulianza mwanzoni kabisa!Pakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Kuna sera yeyote inayoimbwa kwamba muorhodoxy ndugu yake ni muorhodoxy?Mbona Ukraine na Urusi wanapigana wote si ni waothodox?
"Muislamu ndugu yake ni muislamu"Uliza alichofanyiwa Fatema baada ya baba yake kutangulia! Kuinukiana kulianza mwanzoni kabisa!
Pakistan amekuwa Kafir π πPakistan na Iran hayo yote ni mataifa ya Kiislamu
Muislamu ndugu yake ni muislamu imekuwaje ndugu kwa ndugu wapigane?
Yule binti alikufa kifo cha mateso na aibu sana!"Muislamu ndugu yake ni muislamu"
Binafsi sikuwahi kujua kuwa sera hii kuna baadhi ya maeneo inakuwa na mipaka
Sasa imekushangaza nini wakati Iran na Pakistan ni washirika na hapo wanashirikiana kuwafyeka mamluki wa MossadHii taarifa hata mimi imenishangaza sana.
Uaneni tu, kifo cha panzi furaha yetu kunguru* Iran fired dozens of missiles and UAVs at Pakistan β Tasnim news agency
The headquarters of the organization Jaish ul-Adl in Pakistan is reported to have been destroyed.
[emoji779][emoji1130][emoji3538][emoji1191] - UPDATE:
* IRGC now confirmed it has just launched several medium range ballistic missiles and drones towards the headquarters of Jaish Al-Adl terrorist group near city of Panjgur in Baluchistan province of Pakistan.
#IRGC #Pakistan
*The IRGC (Iran) launched several ballistic missiles and drones at the headquarters of the Israeli-backed terrorist group Jaish Al-Adl near the city of Panjgur in Balochistan province in Pakistan.
In mid-December, the group claimed responsibility for a terrorist attack on a police station in the Iranian city of Rask, which killed at least 12 police officers.
#JaishAlAdlView attachment 2873970