Iran Will Never Seek Nuclear Weapons: Leader | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran Will Never Seek Nuclear Weapons: Leader

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Feb 24, 2012.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Iran Will Never Seek Nuclear Weapons: Leader

  "Sanctions have been in place since the victory of the Islamic Revolution while the nuclear issue is a matter of the past few years; therefore their (the West) real problem is with a nation that has decided to be independent."


  Leader of the Islamic Revolution Ayatollah Seyyed Ali Khamenei says the Iranian nation has never sought and will never seek nuclear weapons as it has the capacity to challenge the nuclear-backed influence such powers rely on.


  In a Wednesday meeting in Tehran with the director and officials of the Atomic Energy Organization of Iran (AEOI) and nuclear scientists the Leader described the country’s nuclear and technological achievements further in line with national interests and beneficial for the future of the country.


  “The Iranian nation has never pursued and will never pursue nuclear weapons,” said Ayatollah Khamenei.


  “There is no doubt that the decision makers in the countries opposing us know well that Iran is not after nuclear weapons because the Islamic Republic, logically, religiously and theoretically, considers the possession of nuclear weapons a grave sin and believes the proliferation of such weapons is senseless, destructive and dangerous


  “If nations are allowed to independently make progress in the fields of nuclear energy, aerospace, science, technology and industry, there will be no room left for the tyrannical dominance of world powers,” said the Leader.


  “Sanctions have been in place since the victory of the Islamic Revolution while the nuclear issue is a matter of the past few years; therefore their (the West) real problem is with a nation that has decided to be independent

  source:
  By Press TV
   
 2. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  This is another well calculated move from the supreme leader.
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  the west wont trust them-
  why didnt they allow observers into their plants?
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ni sehemu nyeti za kijeshi...Iran wana haki ya kuruhusu au kukataa kuruhusu.

  Lakini Iraq waliruhusu timu za Hans Blix, Scooter na matokeo yake yalikuwa yepi?

  US na Israel ambao wenyewe wanamiliki silaha za nyuklia, ambao pia hawaruhusu ukaguzi wa plants,sites zao wanapata wapi kiburi na jeuri kutaka kuipekua nchi wanayoishuku tu?

  Ripoti zote zilizotoka mpaka sasa hakuna inayoitia hatiani Iran kuwa ina mpango wa wa kuunda silaha za kinyuklia. Ni propaganda zaidi kuliko ukweli.

  Lakini hata kama Iran itatengeneza silaha za nyuklia, tatizo liko wapi? Ukiwa na nyuklia, unaheshimika.

  Angalia Gaddafi alipoacha mpango wa nyuklia..Saddam pia....hata Korea ya Kaskazini kama sio uwezo wao wa nyuklia leo tungekuwa tunazungumza "marehemu" Korea ya Kaskazini.

  Nchi pekee ambayo imetumia mabomu ya nyuklia ni USA....na US-NATO wanatumia silaha zenye depleted uranium katika maeneo wanayoyahujumu na sehemu wanazoingia kivita. Na sio Iran!

  Tumepigwa bao na propaganda za US-NATO.
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkubwa mkubwa tu-USA anataka heshima yake
   
 6. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,968
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu, nakubaliana na wewe kwamba mataifa yote duniani yana haki zake. Lakini kosa kubwa walilofanya wairani ni kule ku-declare kwamba Israel has no right to exist, kitu ambacho kinamaanisha kwamba wakipata nuklia siku moja wataifuta kwenye uso wa dunia. Hapo ndipo ugomvi walipoukuza. Huwezi kufanya declaration kama hiyo ukitarajia Israel wenyewe na USA wakuangalie tu unatengeneza nuklia za kuja kuwamaliza. Hata kama ningekuwa mimi ndo mataifa hayo siwezi kukuacha.
   
 7. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hilo sawa ndo wanaiwekea vikwazo tena wameisha chelewa kwa sasa israel ipo kwenye hatari itakapoanzisha vita na iran . Kama ulisha sikia ndio defeated ya israel na marekani watakapo anzisha vita. Mgogoro huu wa syria uliopandikiizwa naisrael. Ili izraeli ipate nafasi nzuri na kuwa salama lakini watu wamestuka.
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Edo,

  Hivi hata kama ni ubabe kweli unaweza kumruhusu mwanaume mwenzako aja achunguze mpaka chupi za mkeo...:A S embarassed:

  Unakumbuka Mwalimu aliwaambia nini wale waandishi wa habri pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata?:A S-coffee:
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu
  Kauli hii ni sawa na ile kauli ya Gaddafi iliyotumika kama propaganda kuwa anakusudia ku-massacre wabengazi(genocide).
  Ukweli ni kuwa Gaddfi alitoa msamaha kwa wale watakaoweka silaha chini na alisema jeshi litarejesha amani libya kwa kuwashughulikia waliobeba silaha. Jikumbushe hapa jinsi propaganda ya US- NATO inavyotufunga magoli kiulaini https://www.jamiiforums.com/international-forum/112052-the-rise-and-fall-of-colonel-muamar-gadaffi-245.html#post2430583

  Lakini jiridhishe hapa hii kauli ilivyowekwa kipropaganda https://www.jamiiforums.com/international-forum/196672-israels-right-to-self-defence.html#post2892768
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ureno, spain, UK , Roman empire, Ottoman empire pia ziliwahi kuwa "mkubwa". Ukubwa ukitumika visivyo, huwa ni kujitengenezea mporomoko!
   
 11. K

  Koba JF-Expert Member

  #11
  Feb 29, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  una point lakini lets assume Nonda is Israel na Iran kishasema aliyosema lazima akufute,then leo anatengeneza nuclear bomb,wat u gon do? for me hakuna discussion hapo ninge attack ASAP akiwa bado non nuclear kuliko kuja kukutana naye baadaye akiwa na nuclear,can you imagine saddam angekuwa nalo yule mtu aliyevamia na kuichukua Kuwait,je waarabu wenzake wangepona?nina uhakika leo ungekuwa unalipa oil dola 1000$
   
 12. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #12
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe unadhani iran atapiga nuklia israel,hawzi kwasbb anajua kwanza atawa wa palestina na yeye atapigwa.kuwa na nyuklia ni kuogopwa kama ilivyo north korea.nani atampiga??? kwasbb na yeye atarudishia.sadam asingepiga nuklia.kama unadhani hivyo mbona hakuiharibu kuwait ?bali alivunja utawala tu.


  kitu ambacho marekani anataka nikurudisha ushaa,na hii ndio lengo tangu 1979.
   
 13. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Every time we do something you tell me
  America will do this and will do that . . . I
  want to tell you something very clear: Don't
  worry about American pressure on Israel.
  We, the Jewish people, control America, and
  the Americans know it."
  -- Israeli Prime Minister, Ariel Sharon,
  October 3, 2001.
   
 14. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #14
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  swala la kuchunguza-sometimes ubabe unasaidia-maana kama una strong army then unashindwa kuitumia-lazima utakuiwa unajiandalia mwisho wako-nazani ndicho usa anachofanya

  thats right bro-ila kipindu kile kulikuwa na "wakubwa" wengi na wengi wao walikuwa thirst for war and expansion-hapo ndo ilipowaumiza
   
 15. N

  Nonda JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Kwa habati njema Nonda is not Israel na Iran hajasema ataifuta Israel. Iran amesema Zionist regime ita-collapse!...Lost in translation?

  Usikubali propaganda tu...pitia hii link na links zilizo ndani yake https://www.jamiiforums.com/international-forum/228401-heres-the-site-iran-doesnt-want-inspectors-to-see-3.html#post3425291
   
 16. N

  Nonda JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 17. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wawatwange tu haraka naona wanawachelewesha.
   
 18. N

  Nonda JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 19. N

  Nonda JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Wawatwange kwa kosa lipi?
  Unamfahamu huyu Mzee kwenye video? Msikilize! Anasemaje?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Yusomwasha

  Yusomwasha JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2015
  Joined: Dec 5, 2014
  Messages: 2,131
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  iran nina iman wana bomu
  lazma wajamaa wanayo wanashirikiana na korea kas
   
Loading...