Iran wanafanya kosa lile lile la kudhani Trump ni muoga baada ya kuongeza siku 5, Ayatollah na Maduro walimpuuza alipoongeza muda, kiko wapi?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
  • Toa onyo
  • Toa muda
  • Ongeza muda kidogo
  • Adui acheke
  • Halafu piga
Hiyo ndiyo style ya Trump anapotaka kufanya maamuzi mazito.

Venezuela chini ya Nicolás Maduro walipewa nafasi. Trump akasema: ondoka kwa amani. Akaongeza muda. Maduro akacheka, akadhani ni maneno tu. Lakini muda ulipoisha Maduro akafanyiwa surprise, alibebwa juu juu mpaka Washington DC mchezo ukaisha.

Mwaka jana Trump alimwambia wazi Ayatollah: “Acheni kurutubisha nuclear.”. Alitoa nafasi. Akaongeza muda, Diplomasia kwanza kama mfanyabiashara anayetaka deal. Ayatollah akadhani huo ni udhaifu, alimcheka. Ndani ya saa chache baada ya muda kuisha B-2 bombers zikaingia. zilipiga kiwanda cha Fordow kwa precision, Kwanza Ayatollah alikana kuficha aibu Lakini satelaiti hazidanganyi. Baadaye ukweli ukatoka: miundombinu iliharibiwa vibaya na waziri alikiri pigo lilikuwa zito. Trump alimwambia wazi Ayatollah wanajua alipo na kawazuia Israel wasimuue ila akirudia Tena hawezi kumsaidia (

Vita ya sasa ilianza hivyo hivyo, Trump alimwambia Ayatollah msirejee kwenye urutubishwaji wa nuclear , Iran wakampuuza, Trump akatoa nafasi, akaongeza muda, Ayatollah akamcheka kumchukulia ni maneno matupu, kilichofuata Ayatollah kaweka rekodi ya kuwa kiongozi mkubwa kubamizwa ndani ya sekunde 40 tu pamoja na viongozi wengi wakubwa, rudia tena kusoma ni SEKUNDE 40 !

Siku chache zilizopita Trump alitoa onyo Iran Fungueni njia ya mafuta lasivyo nitapiga viwanda vyenu vya nishati na umeme, alitoa muda wa masaa 48, Kisha kama kawaida yake ameongeza muda siku 5., Iran wanafanya kosa lile lile wanamchukulia poa ni maneno tu hawezi chochote,
 
  • Toa onyo
  • Ongeza muda kidogo
  • Adui acheke
  • Halafu piga
Hiyo ndiyo style ya Trump anapotaka kufanya maamuzi mazito.

Venezuela chini ya Nicolás Maduro walipewa nafasi. Trump akasema: ondoka kwa amani. Akaongeza muda. Maduro akacheka, akadhani ni maneno tu. Lakini muda ulipoisha Maduro akafanyiwa surprise, alibebwa juu juu mpaka Washington DC mchezo ukaisha.

Mwaka jana Trump alimwambia wazi Ayatollah: “Acheni kurutubisha nuclear.”. Alitoa nafasi. Akaongeza muda, Diplomasia kwanza kama mfanyabiashara anayetaka deal. Ayatollah akadhani huo ni udhaifu, alimcheka. Ndani ya saa chache baada ya muda kuisha B-2 bombers zikaingia. zilipiga kiwanda cha Fordow kwa precision, Kwanza Ayatollah alikana kuficha aibu Lakini satelaiti hazidanganyi. Baadaye ukweli ukatoka: miundombinu iliharibiwa vibaya na waziri alikiri pigo lilikuwa zito. Trump alimwambia wazi Ayatollah wanajua alipo na kawazuia Israel wasimuue ila akirudia Tena hawezi kumsaidia

Vita ya sasa nayo ilianza hivyo hivyo, Trump alimeambia Ayatollah msirejee kwenye urutubishwaji wa nuclear , Iran wakampuuza, Trump akaongeza muda, kilichofuata Ayatollah kaweka rekodi ya kuwa kiongozi mkubwa alieuawa ndani ya sekunde 40 tu pamoja na viongozi wengi wakubwa,

Siku chache zilizopita Trump kawaambia Iran Fungueni njia ya mafuta lasivyo nitapiga viwanda vyenu vya nishati na umeme mna masaa 48, Kisha kama kawaida yake anaongeza muda siku 5., Iran wanafanya kosa lile lile. Wanamuita muoga.
Iran amekataa kuwa amezungumza na USA,na amesema vita inaendelea kama kawa.
 
Trump:nitapiga miundo mbinu ya Iran
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel taifa Teule,Iran lazima ipigwe andiko Litimie
Trump:sitopiga miundombinu yao italked with Iran
Iran:hatujaongea na Trump
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel ikiamua inaweza piga popote Iran,🐒🐒🐒😆😫😅😃🤣
 
Trump:nitapiga miundo mbinu ya Iran
Mandezi wa god of Israel TZ:Israel taifa Teule,Iran lazima ipigwe andiko Litimie
Trump:sitopiga miundombinu yao italked with Iran
Iran:hatujaongea na TrumpMandezi wa god of Israel TZ:Israel ikiamua inaweza piga popote Iran,🐒🐒🐒😆😫😅😃🤣
 
Maumivu ya Ayatollah kubamizwa ndani ya sekunde 40 yakizidi nenda mirembe
 
Kwahiyo wewe ndiye uliye wafundisha Iranian kutengeneza zile missile Akili hata ya kuunda Chupa ya chai huna halafu ndio ujifanye una Akili ya kuishauri Iran mbona mnaletaga masihara kwenye vitu sensitive aisee !?

Muwage mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo
 
  • Toa onyo
  • Toa muda
  • Ongeza muda kidogo
  • Adui acheke
  • Halafu piga
Hiyo ndiyo style ya Trump anapotaka kufanya maamuzi mazito.

Venezuela chini ya Nicolás Maduro walipewa nafasi. Trump akasema: ondoka kwa amani. Akaongeza muda. Maduro akacheka, akadhani ni maneno tu. Lakini muda ulipoisha Maduro akafanyiwa surprise, alibebwa juu juu mpaka Washington DC mchezo ukaisha.

Mwaka jana Trump alimwambia wazi Ayatollah: “Acheni kurutubisha nuclear.”. Alitoa nafasi. Akaongeza muda, Diplomasia kwanza kama mfanyabiashara anayetaka deal. Ayatollah akadhani huo ni udhaifu, alimcheka. Ndani ya saa chache baada ya muda kuisha B-2 bombers zikaingia. zilipiga kiwanda cha Fordow kwa precision, Kwanza Ayatollah alikana kuficha aibu Lakini satelaiti hazidanganyi. Baadaye ukweli ukatoka: miundombinu iliharibiwa vibaya na waziri alikiri pigo lilikuwa zito. Trump alimwambia wazi Ayatollah wanajua alipo na kawazuia Israel wasimuue ila akirudia Tena hawezi kumsaidia (

Vita ya sasa ilianza hivyo hivyo, Trump alimwambia Ayatollah msirejee kwenye urutubishwaji wa nuclear , Iran wakampuuza, Trump akatoa nafasi, akaongeza muda, Ayatollah akamcheka kumchukulia ni maneno matupu, kilichofuata Ayatollah kaweka rekodi ya kuwa kiongozi mkubwa kubamizwa ndani ya sekunde 40 tu pamoja na viongozi wengi wakubwa.

Siku chache zilizopita Trump alitoa onyo Iran Fungueni njia ya mafuta lasivyo nitapiga viwanda vyenu vya nishati na umeme, alitoa muda wa masaa 48, Kisha kama kawaida yake ameongeza muda siku 5., Iran wanafanya kosa lile lile wanamchukulia poa ni maneno tu hawezi chochote,
Ni wajinga kweli. Wanawalia mingo, hawataini
 
Iran is very different, trump awasikilize former military ambao walikuwa ukanda huo miaka hiyo
 
C cenirio moja inaweza kukupa majibu 3 sawa haimaanishi kuwa njia hiyo hiyo itampa maatokeo Trump ,
Mfano wew kwakuwa jiran yako alivamiwa kwakwe aka salenda nawe ukivamiw na huyo huyo mtu uta salenda
 
Back
Top Bottom