mcomunisti halisi
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 103
- 328
Picha za satellite zimeonyesha siku ya jana Iran wamefanya jaribio la kurusha makombora kwa mujibu wa maofisa wa US
Siku ya jana jumatano Iran walirusha kombora la masafa mafupi ambayo imekwenda umbali wa mile 35 -kwa mujibu wa ofisa wa US
jaribio hili mpya limekuja baada ya wiki tu US kuwawekea vikwazo Iran.Kumekuwa na hali ya moshi na wingu la gesi katika eneo la semnan ambapo makombora hurushwa,Semnan ipo mile 145 mashariki mwa Tehran.
Inaripotiwa ya kwamba kombora lililorushwa jana limetengenezwa kwaajili ya kutungua roketi au kuharibu makombora mengine
Tunatizama kwa uangalifu maendeleo ya jeshi la Iran -ofisa wa US
mnamo tarehe 29 january Iran walirusha kombora la masafa ya kati lenye uwezo wa kubeba vichwa vya nyuklia jambo lililozua taharuki na mkutano wa dharura wa baraza la usalama wa umoja wa mataifa uliitishwa na siku iliyofuata White house walitoa kauli kutoka kwa mshauri wa mambo ya usalama nchini US Mike Flynn kuwa amewaweka Iran kwenye notice huku Rais Trump aki-tweet sawa na Flynn.
Maazimio ya UN 2231 inaitaka/imewapa wito Iran wasifanye majaribio ya makombora lakini haiwakatazi Iran kurusha /kufanya majaribio hayo.Maazimio hayo yaliwekwa siku ya kilele cha kufanikiwa kusainiwa dili ya Nucleur baina ya nchi za magharibi,US
siku za hivi karibuni kumekuwa na majibizano ya hapa na pale baina ya uongozi wa Trump na uongozi wa Rouhani ,Uongozi wa Trump upo katika hatua za awali kulitangaza jeshi la Iran kuwa ni taasisi nambari moja ya kigaidi duniani,ina taarifiwa maofisa wa juu na washauri wa Trump wapo katika mazungumzo ya kuamua kuitangaza na kuijumuisha jeshi la watu wa Iran kuwa ni taasisi ya kigaidi,ni juzi tu Rais Trump ali tweet ya kwamba Iran ni nchi ya kigaidi duniani .