Marekani vikwazo vyake havina maana wanaweza kumwekea hata asiye na hatia, au umesahau ni Marekani hao hao waliokuwa wamweka Mandela kwenye list ya magaidi mpa miaka ya 2000s.Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.
Bora hata wakuweke kwenye list uishi salama. Hata uwe Rais watatafuta visingizio hata vya kujitekenya wenyewe ili wacheke halafu wakuue kisa umewachekesha. Hakuna taifa dhalimu duniani kama Marekani.Marekani vikwazo vyake havina maana wanaweza kumwekea hata asiye na hatia, au umesahau ni Marekani hao hao waliokuwa wamweka Mandela kwenye list ya magaidi mpa miaka ya 2000s.
Umesahau kuwa ni Marekani hao hao walioandaa na kufanya mapinduzi ya Nicaragua? Umesahau ni Marekani hawa hawa waliokuwa wanamuunga mkno dictator aliyeua watu Pinochet?
Kama huendani na sera zao na hawana maslahi kwako basi Marekani watakuweka kwenye list hiyo.
Vilaza sjui kama watakuelewaPutin to USA NBC Reporter: Don't be mad at the mirror if you are ugly.^ If somebody blames us for something, what I say is, Why don't you look at yourselves? You will see yourselves in the mirror, not us. There is nothing unusual about it.
Transcript of NBC News' exclusive interview with Russia's Vladimir Putin
Full transcript of the interview with Russian President Vladimir Putin by Keir Simmons of NBC News, which took place in Moscow on June 11, 2021.www.nbcnews.com
Havina maana angalia Venezuela, na Iran wana mafuta na Hawana pa kuuzaMarekani vikwazo vyake havina maana wanaweza kumwekea hata asiye na hatia, au umesahau ni Marekani hao hao waliokuwa wamweka Mandela kwenye list ya magaidi mpa miaka ya 2000s.
Umesahau kuwa ni Marekani hao hao walioandaa na kufanya mapinduzi ya Nicaragua? Umesahau ni Marekani hawa hawa waliokuwa wanamuunga mkno dictator aliyeua watu Pinochet?
Kama huendani na sera zao na hawana maslahi kwako basi Marekani watakuweka kwenye list hiyo.
Habari nilizopata punde huyu jamaa kaandaliwa na Ayatollah na wote waliokuwa na nguvu za kuchaguliwa kwa haki na raia walitishwa na kuambiwa wajitoe kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uraisi hadi mmoja alijitoa siku mbili kabla ya uchaguzi.. na siri kubwa uchaguzi kura zimechezeshwa kama Jiwe alivyokuwa anafanya.. Naona Ayatollah kamchagua Butcher of Teheran sababu anatekeleza kila kitu hadi kutoa rohohapendwi na jumuia za kimataifa
lakini anapendwa na wa Iran na ndo maana wakamchagua awaongoze
ukumbuke huyoo haongozi hizo jumuia za kimataifa
anaongoza Taifa la Iran
Imagine ndio waliomfundisha kazi Osama bin Laden, kisha mzimu wao ukawageuka. Wamefadhili vikundi vya ugaidi kwenye himaya za Kiislamu na Mashariki ya Kati ili wamalizane wao kwa wao. Machafuko ya Libya, Iraq, Iran, Afghanistan, Venezuela, Cuba, and many, many others ni kwa sababu ya jinamizi hili linaloitwa Marekani.Marekani vikwazo vyake havina maana wanaweza kumwekea hata asiye na hatia, au umesahau ni Marekani hao hao waliokuwa wamweka Mandela kwenye list ya magaidi mpa miaka ya 2000s.
Umesahau kuwa ni Marekani hao hao walioandaa na kufanya mapinduzi ya Nicaragua? Umesahau ni Marekani hawa hawa waliokuwa wanamuunga mkno dictator aliyeua watu Pinochet?
Kama huendani na sera zao na hawana maslahi kwako basi Marekani watakuweka kwenye list hiyo.
Ninaposema havina maana sijamaamisha havina athari, ila nimemaanisha Marekani kuweka vikwazo kwa taifa au kwa mtuhaina maana ni mbaya inawezekana tu hakubaliani nao ndiyo maana nimekupa mifano niliyokupa. Na pia kuunga mkono taifa flani haina maana ni taifa bora ila inawezekana wanakubaliana naye tu. Kuna serikali nyingi ambazo ni ovu lakini anaziunga mkono.Havina maana angalia Venezuela, na Iran wana mafuta na Hawana pa kuuza
Israel: ^We'll never allow Iran to develop any nuclear facilities.^hapendwi na jumuia za kimataifa
lakini anapendwa na wa Iran na ndo maana wakamchagua awaongoze
ukumbuke huyoo haongozi hizo jumuia za kimataifa
anaongoza Taifa la Iran
kazi ipooo hapaaaIsrael: ^We'll never allow Iran to develop any nuclear facilities.^
Iran: ^Nothing will ever stop us from going forward with nuclear advancement, military technology, and economic progress, not even all our enemies combined. And we've been known to be a very patient nation.^
USA: ^It's Russia's Putin that causes Iran to flex her muscles of unacceptable military programs.^
Putin: ^We have an international cooperation with Iran. This is what is expect of all mutually-respecting allies, even those of USA.^
DuhMasikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30.. alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote... sasa tutegemee uovu kama wote kutoka kwa huyo Shetan maana kama raia wake maelfu kawanyonga hadi kufa utegemee nini kitafuata...Nuclear bomb atapiga watu maana kuua kwake ni ulimi wake tu anakuwa keshamaliza.