britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,195
- 41,722
Inatakiwa kujua uwezo wa adui yako, ni sawa na fisi kupigana na simba
Marekani hawezi kutishwa na kelele za vyuraAngalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na MarekaniTukiwaambia ukweli hawa ijumaa hawasikii wanaanza matusi, Irani ni mtoto wa chekechea ukilinganisha na US
Iran hawajui kuwa lengo la marekani ni kuanzisha Vita halafu wainyang'anye silaha zote Irani pamoja na regime change, Sasa Nani mwenye akili hapoMental maturity: US....%. Iran ..80%
Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.Marekani hawezi kutishwa na kelele za vyura
Waarabu wote ni wanafiki tu, ilipoanza Vita Syria wote walikuwa wanakimbilia ulaya mbona hawakwenda uarabuni kwa waislamu wenzao?Siyo suala la dini ingekuwa dini Marekani asingekuwa na base hata moja mashariki ya kati,kingine msichokijua waislam wa sunni walio wengi wako pamoja na Marekani
Angetumia nyuklia weapons mngepiga keleleMarekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Kama Iran itajichanganya itapigwa mpaka itachakaa!!!!!Angalieni Aljazeera muone waziri mkuu wa Iraq anaongea,kiongozi wa Hezbollah kishaongea.USA sasa inabidi wajitafakari.
Kasome hotuba ya Mwalimu wakati wa vita vya Kagera inaitwa "Moyo kabla ya silaha" utajua kwenye vita kuna mambo mengi sana,ikiwemo jiografia kwa mfano ili Marekani iweze kuishambulia Iran inahitaji base,na je Iran imezungukwa na maadui au washirika? Kama ni washirika Marekani itapata wapi base,manake haiwezi kushambulia kutokea Marekani lazima kuwe na kituo kwa ajili infantry ili kuteka miji nk mashambulizi ya anga peke yake hayatoshi kuiangusha nchi,kama yangeweza leo tusingekuwa na Houthi pamoja na Bashar Al AssadIran vs. US military capabilities:
Budget
Iran: $6 billion
US: $716 billion
Troops
Iran: 523,000
US: 1.3 million
Aircraft
Iran: 509
US: 13,398
Navy vessels
Iran: 398
US: 415
Nukes
Iran: not known
US: 6,185
Missile range
Iran: 3,000 km
US: Any place on Earth
View attachment 1313146
Endeleeni kumdanganywa Iran kuwa amerika ni zero,atapigwa achakae bure!!!Marekani hawezi enda vitani peke yake bila UK na wengine,Iran akiungana na mataifa mengine hapo middle east,USA ni zero tu.Aliondoka Vietnam mwenyewe bila kupenda.USA alone is zero zero.
Yaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.Angetumia nyuklia weapons mngepiga kelele
Siku zote usiwaamini waarabu ni wanafiki sanaYaani kina Saudi wangekuwa na akili walitakiwa waungane na Iran,USA haitakii mema Middle east.Iran sasa najua lazima atumie akili kubwa sana.Migogoro ni ya miaka na miaka sasa,Iran sasa anamfahamu vizuri USA.Kumbuka vita vya ghuba ya uajemi hawa Iran walikuwa pro America katika kuivamia Iraq,look at now Iran wamekua adui wa USA.
Huhitaji kuwa rocket scientist kuelewa kuwa USA ni chokochoko mkubwa.