Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
[video=youtube_share;tdwSXOrSX-8]http://youtu.be/tdwSXOrSX-8[/video]
The first video of the Captured American ScanEagle Drone
Iran's (IRGC) has captured a US ScanEagle drone again over the Persian Gulf waters upon its intrusion into the Iranian airspace. IRGC Navy Commander Rear Admiral Ali Fadavi made the announcement on Tuesday, adding that the Iranian armed forces enjoy full intelligence command over foreign movements in the Persian Gulf region. Referring to the captured ScanEagle drone, the Iranian commander pointed out, "Such drones are usually launched from large aircraft carriers." The ScanEagle drone, which has a 10ft (3m) wingspan, is a long-endurance aircraft built by Insitu, a subsidiary of Boeing.Iran has released footage of the captured drone.
Naona wachangiaji wamekuwa wachache hapa, ukweli unauma...:becky:
Aha aha aha! This
reminds me kwenye ile drone ya CIA nadhani RQ 170 SENTINEL ilikua
spoofed na kuteremshwa bila kuharibika sana lakini US walikataa kua IRAN
hawawezi na wala hawana technology ya kuishusha kwanza ni rader evading
pili ina special coat kiasi sio rahisi kuiona tatu ni fifht generation
na nne inaendeshwa na CIA tokea US kwenyewe kiasi sio rahisi kuhack
kwenye control system Lakini cha kushangaza ni pale IRAN ilipoionesha
kwenye vyombo vya habari dunia nzima ilibaki midomo wazi now the same
story drone imekamatwa technology wala sio kuidungua kwa kombora na
imeoneshwa hadharani US wamekaa kimya lakini jana walikataa kupoteza
drone yao
Ngoja na sisi tuzishushe za jirani zetu ndio watakapotupa heshima...sooon tutaweka drone zao chini walizopewa msaada kwa hisani ya watu wa marekani
Siku zote hushangaa kitu gani wazungu wametulisha hata tunakataa kabisa kukubali umahiri wa kiteknolojia wa mtu wa kabila (race) lolote ispokuwa mzungu tu? Hata Iran ikionesha drones gani bado watu hawakubali maendeleo makubwa ya kiteknolojia ya hawa Waajami! Kiasi kwamba hata wazungu wenyewe wanakubali na wako midomo wazi kushangaa.....lakini Mbantu bado ana imani naye yeye tu....hakuna mwingine!
Ngoja na sisi tuzishushe za jirani zetu ndio watakapotupa heshima...sooon tutaweka drone zao chini walizopewa msaada kwa hisani ya watu wa marekani
Kwa technology ipi tulonayo mkuu? Ivo vitu havionekani ktk radar so lazima pawe na kitu chengine cha kuziona drones, Radar tulonunua mabilioni ya pesa tushaambiwa haifai,tutaweza kweli kushusha drones??
Well said mkuu, hata mimi huwa naona mind set za sisi Wafrica ni za ajabu sana!!Siku zote hushangaa kitu gani wazungu wametulisha hata tunakataa kabisa kukubali umahiri wa kiteknolojia wa mtu wa kabila (race) lolote ispokuwa mzungu tu? Hata Iran ikionesha drones gani bado watu hawakubali maendeleo makubwa ya kiteknolojia ya hawa Waajami! Kiasi kwamba hata wazungu wenyewe wanakubali na wako midomo wazi kushangaa.....lakini Mbantu bado ana imani naye yeye tu....hakuna mwingine!
Mkuu mbona una assumption za ajabu sana?
Kwani habari hii ni mipasho kwa watu fulani?
Hii sio ya kwanza kushushwa, remember?!