Iran umenivunja moyo wangu

Iran umenivunja moyo wangu

Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani

Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!

Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.

Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??

S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...

Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.

Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Funga msikiti tu sheikh wangu.
 
Makobasi na vilemba na shunting hamjawai kuwa na akili

Acheni kufunika vichwa na vilembaa
Mnapitwana vitu vingi
 
Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani

Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!

Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.

Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??

S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...

Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.

Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Marubani ni wanawake na operation imesimamiwa na wanawake WA kiyahudi
 
Unajifariji baada ya Israel kupokea kichapo🤣🤣🤣
Hawa wakanisa wakienda omba kanisa hawaombi Mungu wanaenda tongozana hebu we tazama akili za huyu mtoa mada hawa si ndio design za nguruwe wa njombe hahaha. Israel anapokea kichapo wao wanageuza story hahahaha
 
Kufananisha Israeli na Irani Ni sawa na Kufananisha Polisi na Jeshi. Ni wazi ni Mbingu na Ardhi.

Nawapenda Irani kwasababu Wanajitutumua wasipelekwe msobe msobe, Lkn in any ways Lazima wapat hasara kubwa Kuliko Israel.

Siku zote hata kama unajua adui yako ni mbabe kukuliko, ukijilegeza anaweza hat kukugonga
 
Hawa wakanisa wakienda omba kanisa hawaombi Mungu wanaenda tongozana hebu we tazama akili za huyu mtoa mada hawa si ndio design za nguruwe wa njombe hahaha. Israel anapokea kichapo wao wanageuza story hahahaha
Comment yako inaonesha umevunjwa moyo na irani kama mimi.. sema wew umechagua personal attack kupunguza machungu..
Mimi nimetumia njia ya kuomba faraja kwa wanajamvi wanitie moyo kutokana na kipigo tunacho pewa na Mayahudi
 
Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani

Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!

Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.

Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??

S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...

Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.

Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
hivi kwa akili zako irani iliyowekewa vikwazo vya kila aina,nchi ambayo haisaidiwi na nchi yoyote ile hapa duniani unataka iwe sawa na israel ambayo inapewa misaada ya kifedha,silaha kubwa kubwa na marekani,itaweza kweli kuishinda israeli?
 
Kwan mrusi ,china Bricks, pakistan hawamsaidii mwenzao??
 
Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani

Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!

Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.

Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??

S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...

Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.

Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak
Hayo ndiyo matatizo ya kushabikia usilolijua!!! Ulikuwa unashabikia debe tupu!!!
 
Iran kakwaa kisiki, rushwa ni adui wa haki.
Wamewaibia wa Iran kwa kipindi kirefu na kuwanyanyasa.
Wahuni hao waliojipachika sifa kedekede za kidini kwa lengo la kuwaibia waajemi yaani wa Iran,mwisho wao umekaribia,nasikia wanakimbia nchi kwa mamia kwenda kutumbua pesa zao.
Watu hao week mmoja walijitutumua hawataki suruhisho leo Ayatola Ali Khameni anawalamba miguu Saudi na Qatar wamuombe Trump arejeshe mazungumzo,ameenda mbali kuacha kutengeneza au kuboresha mazao ya Uranium.Ayatola amegeuka kondoo anayewindwa na Simba wa Israel.
Aishaomba Raisi Putin amuhifadhi,kwa maana anakimbilia Urusi.
Funzo binadamu si Mungu.
 
Back
Top Bottom