Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,145
- 3,765
Nimeishi maisha yangu nikijua kua
Mtawala wa mashariki ya kati kiuchumi na kijeshi ni Irani..
Jeshi lenye nguvu la mashababi na viongozi wa kijeshi mashababi ni irani
Sasa hiki ni nini mngu wangu!!!!
Leo naandika kwa machozi mazito
Aaah😭😭 irani umenivua nguo.
Wenzio wamepeleka ndege wew unapeleka droni na makombora Ya kutuma
Tena formation walio tumia kuipiga israel. Inaitwa jiwe Gizan operation, yan tunarusha makombora ya mpata mpatae yeyote litakalo mkuta poa tu??
S400 s500 air defence ziliwekwa kwenye maeneo nyeti baaada ya kuona mazungumzo ya nyuklia hayawez kufua dafu. Lakin hayo maeneo ndio yalio pigwa...
Nitaambia nini watu shekhe mimi.😭😭😭
Tumelipiza gharama ya kuuwawa viongozi wakubwa wa Jeshi letu na wanasayans kwa kushindwa kuua hata kuruta mmoja wa kizayuni. Kweli!!!? Achilia mbali hata kudungua ndege zao.
Kwa dhereu ndege za mayahudi zinajazwa mafuta kwenye nchi vibaraka wetu.
Kwa sasa nahitaji kutiwa moyo na kupewa maneno matamu ili nipate usingizi
Wanajamvi mnao koment vibaya nitawashtak