Iran: Tutatumia silaha zote Kali kujibu shambulio la Israel dhidi yetu

Iran: Tutatumia silaha zote Kali kujibu shambulio la Israel dhidi yetu

Kwahiyo unakiri kuwa October 1 Israel walipasuka, ndio maana wamejibu kwa shambulizi?
Ni kweli kambi zao mbili za Kijeshi zilipigwa. Ni ngumu kujua kiasi cha uharibifu kwenye maeneo ya kijeshi kwani ni ngumu kutoa picha zake zinazoonesha kiwango cha uharibifu.
 
Uliisikia kauli aliyosema kamanda wa Iran Oktoba pili!?
Iran ilishasema toka Oktoba pili Israel ikijibu wao watajibu mara elfu yake.
Hivyo wanatimiza ahadi waliyosema.
Haijalishi madhara makubwa ama madogo wao walisema Israel akijaribu kuigusa Iran basi watalipiza thousand times.
Kwa kipigo hiki watajitafakari mara mbili, wanajua next ni miundombinu ya mafuta na mitambo ya nuclear.
 
Kama Israeli kawatumia mademu..kobasi mnalia hvo mkijibu .. myaudi atatuma wanaume muone mziki mnene
 
sisi hapa Tanzania na wenzetu Marekani tupo busy na masuala muhimu sana ya uchaguzi wa viongozi wetu kwa miaka kadhaa ijayo.

Ni vema Israel na iran wakaachwa peke yao na wapambane na hali zao hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inakabiliwa na janga la utekwaji kutoka kwa mafweregang.

Huyu mafwere ni gaidi namba moja duniani.
 
Nyie mnasema Israel iliishambulia Iran ila sisi wa Iran usiku kucha tuliangalia angani ila hatukuona hata punje ya mchele ikipita
Screenshot_20241028_110017_X.jpg
 
Ndege zenyewe zimeshambulia zikiwa anga la Syria na Iraq,hii inajulisha IAF ni COWARDS waoga.
Kama wangekua na ubavu wangeingia Iran airspace na ndege zao.
Ila wameshambulia wakiwa anga la Syria na Iraq tena kwa kutumia kambi za USA zilizopo hayo maeneo.
Kitu cha pili viwanda vyote wanavyodai kupiga facility zake zipo underground kuanzia uzalishaji silaha hadi utunzaji upo mita 300 chini.
No way wameharibu kitu,ni sawa wamepiga empty space.
Kama ingekua hivyo tungesikia vifo vingi na maafa mengi sana.
Cha mwisho,kitendo cha kutumia ndege 100 na madhara kuwa madogo inajulisha Israel ni taifa dhaifu mbele ya Iran.
Sasa subirini Iran ajibu mara elfu aliyoahidi.
Mkuu hizi ni hisia au uhalisia wa mambi
 
Alisema lisidharauliwe kwa udogo wake na israel isiadhibiwe,maana atajenga mazowea ya kushambulia,na lisitiwe chumvi yaani lisikuzwe kwa kuwa it's nothing kimadhara

Aliongea akijifuta machozi. Maana wanajeshi wanne wameuawa
 
Mkuu hizi ni hisia au uhalisia wa mambi
Hizi sio hisia ndio uhalisia.
Angalia namna Israel inavyoshambulia na ndege Syria na ilivyoshambulia Iran je vinafanana!?
Ingekua Syria Israel angepitisha ndege kila kona.
 
Hizi sio hisia ndio uhalisia.
Angalia namna Israel inavyoshambulia na ndege Syria na ilivyoshambulia Iran je vinafanana!?
Ingekua Syria Israel angepitisha ndege kila kona.

Uzuri Iran ndio anajua ukweli.
 
Back
Top Bottom