Hahah sasa wewe una hesabu US kuwaua Osama and Saddam kuwa ndoawanaume, wakati umesahau wanajeshi wangapi wakimarekani wamekufa kule iraq...afu mbona wamekimbia we soma fact na reason ilio mfanya mmarekani kukimbia Iraq...hivi wewe unadhani mmarekani kashinda vita iraq?Kwani wamepigana mara ngapi mpk useme toka lini? Unaongea utafikiri inakuhusu vile manake mpk mapovu na machozi yanatoka. Mimi najua Vita moja tu ya mashariki ya kati ambayo imesababisha mpk leo milima ya Golan inakaliwa na Israel na kifo cha Anwar Sadat.
Kumbe unajua USA ni mume eeh? (Hata Osama na Saddam wanajua)
Tunajua mmarekani ni mtumwa wa kiyahudi ndio hatukatai....lakini nataka unieleze wapi mmarekani kashinda vita alizo ingia yeye na isreal.....America wameshindwa vita somali, Iraq, na sasa Afghanstan.
Unaongea kama Comical alli au Mousa Ibrahim....wako wapi baba zao Saddam,Osama,Ghadaffi, Anwar Awlaki et al.......amebaki Ahmednajad/Iran......Mossad iko kazini watch this space. ungekuwa na akili kidogo tu ya kujua US=Israel and Israel=US...basi hata usingepoteza muda wako na wahindi/iran.
Polee uelewa wako ni mdogo sana a real Comical Alli...Don't argue with a f$%%$^&&**.....I'm out.Tunajua mmarekani ni mtumwa wa kiyahudi ndio hatukatai....lakini nataka unieleze wapi mmarekani kashinda vita alizo ingia yeye na isreal.....America wameshindwa vita somali, Iraq, na sasa Afghanstan.
Isreal kapigwa na nchi ndogo sana lebanon tena kikosi tu cha Hezboullah tena mara mbili anakimbia mwenyewe.
Mtaishia matusi nendeni basi Iran mmekalia kelele tu....haya wasalimie kina natanyahau, na bora usrudi mana mnakelele nyingi tu.Polee uelewa wako ni mdogo sana a real Comical Alli...Don't argue with a f$%%$^&&**.....I'm out.
Nawashangaa watu wanaosema Israel ni taifa teule la mungu, mungu yupi huyo? Hivi bado katika karne hii ya 21 kuna watu wenye mawazo mgando kama haya?
Watanzania wanzangu msidanganyike, Israel haina tofauti na Tanzania wala Ruanda hata Afghanistan. Hizo propaganda za biblia zinawapoteza sana, mi nazifananisha na mashairi ya Shabaan Robert. Kama unasoma biblia na kuamini kilichoandikwa basi imekula kwako.
Hahah sasa wewe una hesabu US kuwaua Osama and Saddam kuwa ndoawanaume, wakati umesahau wanajeshi wangapi wakimarekani wamekufa kule iraq...afu mbona wamekimbia we soma fact na reason ilio mfanya mmarekani kukimbia Iraq...hivi wewe unadhani mmarekani kashinda vita iraq?
Au kule afghanstan ndo usiseme...hahaha kweli akili mali, mmarekani anakimbia kila anapo ingia vita....anatafuta kila njia kutoka Afghanstan.
I doubt israel has the face to attack iran directly, Israel wont go to war with Iran :biggrin:
The fact is Israel has always depended on the US for its military hardware and to be replenished in a time of war.... Israel has not been tested on on the military field.
All its Arab opponents have been weak and in the 1967 War Israel struck first, in Iran it faces an opponent that has prepared itself to engage in war with a country that spends more on its military and airforce.
Iran is bigger and its geography is better suited to take on the Israeli army.....Irans economy is bigger and could weather a long war better than Israel. ....while Israel would not lose a war with Iran, it would not win it....But it would be left with so much war damage that it would lose it's position as a regional power:biggrin:
Iran is bigger and its geography is better suited to take on the Israeli army.....Irans economy is bigger and could weather a long war better than Israel. ....while Israel would not lose a war with Iran, it would not win it....But it would be left with so much war damage that it would lose it's position as a regional power:biggrin:
Do you know that Israel is ranked worlds number 3 military strength and combat power below USA and China? While Iran is not in a list of top ten? Just explore: Military photos . net.
The fact is Israel has always depended on the US for its military hardware and to be replenished in a time of war.... Israel has not been tested on on the military field.
Si ndo hata mimi nashangaa...afu wanasema isreal ana weza kuwapiga warabu....hebu mmarekani akae kando asimsaidie isireal tuone kama kutabaki na nchi inaitwa isreal.
Mimi naipa nchi moja tu isreal wafany enae vita wachaa warabu wengine wakae kanda....apigane na eghpty afu mmarekani na europe wasiingile kumasaida isreal...kama atachukua hata week.
Tunajua mmarekani ni mtumwa wa kiyahudi ndio hatukatai....
Isreal kapigwa na nchi ndogo sana lebanon tena kikosi tu cha Hezboullah tena mara mbili anakimbia mwenyewe.
Kwanza wewe unataka kujionyesha msome kwa kuhiighlighted neno la eghpt kama nimekosea kuandika hahaha...huo ni ujinga mana sioni kama kuna kosa nikiweka Y mwishoni.Jeshi la Egypt limekuwa likiendeshwa kwa msaada wa US tangu mwaka 1979. Kila mwaka Egypt inapokea dollar bilioni 2 kutoka US kama msaada kwa jeshi lake ikiwemo vifaa vya kijeshi. Vifaa hivi muhimu kwa jeshi hilo ni pamoja na military hardwares kama new advanced F-16C/D fighter aircrafts, Boeing Co CH-47D CHINOOK transport helicopters, Northrop Grumman Corp E-2C Hawkeye Airborne Early Warning Command & Control aircraft and Patriot air-defense systems. Hapo hujagusa training ya kutumia vifaa hivyo na mafunzo mengine ya kijeshi.
Sasa ndugu fazaa unapoongelea msaada wa Marekani kwa Israel jielimishe zaidi na upande wa Egypt uliyoipendekeza.
Duuu hii babkubwa taifa la mungu liwe linasaidiwa na mmarekani, kweli ukitaka kuona vichaa walioka duniani soma hii point ya jamaa.Weeeh, acha kujidanganya kabisa, Israel si nchi ya kushindwa vita kirahisi kama ufikiliavyo & kaa ukijua kuwa lile ni Taifa teule la Mungu, na itakapotokea kwamba Israel inashindwa ktk vita basi ujue hawakushindwa waisrael bali kashindwa Mungu. Nenda kasome vita vya Israel vile vya mwaka 1967 uone.
Siku isreal itakuwa taifa la mungu basii asinge hitaji msada wa nchi zingine kwenda kumpiga Iran.Ma-Iran ni Mashehetwani hayatamuweza Taifa la Mungu aliye Hai (Israel)
ISRAEL NA ABARIKIWE MILELE. Maadui zake Ma-Irani na wote wanaomchukia Waangamie Milele. Amen.
Kwanza wewe unataka kujionyesha msome kwa kuhiighlighted neno la eghpt kama nimekosea kuandika hahaha...huo ni ujinga mana sioni kama kuna kosa nikiweka Y mwishoni.
Sasa turudi kwenye point, unasema eghpt anategema msada kuotka america toka mwaka 1979 ungekuwa na akili kidogo tu ungejuwa pale mmarekani anahonga ili eghpt asiwe anamsumbua muisreal....ngojeni muone kipigo atakacho kipata karibuni kutoka kwa Iran ndo mtajua hana kitu huyo...landa atumie nuclear bom na hapa akitumia ujuwe ndo mwisho wake hauko mbal..iHizo nuclear atabaki tu kazishikilia lakini hawezi kuzitumia kwenye vita :biggrin:
Dogo hapo ndo nilikuwa nataka kutest akili zako kama kweli zinafanya kazi hahaha.We kiazi, inaitwa Egypt maana unarudia-rudia mchemko sasa kama jina la nchi hiyo linakushinda utajua vipi details nyingine?