Iran-Supreme National Security Council

Iran-Supreme National Security Council

Kazi iendelee
Leo Haifa mpaa maji waseme maiii


View: https://youtu.be/Clw84qmfT-c?si=GgHVukbNPd2Nrgr3


View: https://youtube.com/shorts/nVk9UotVCwo?si=4VWE8CU_kCN67FqK

Haiber Missiles hio imagine vichwa 80 kwenye Missile moja hata USA kachanganyikiwa hapo wataungusha vipi hio Missile


View: https://youtube.com/shorts/hM7PX8_Rqbw?si=zls4RZnhR5jG0G31

Ayatollah Ali Khomen anacheka vitisho vya Trump


View: https://youtube.com/shorts/Cdp48L0jV44?si=lOcwcU_kGdRCmXDy

Mtoto wa simba anabaki kuwa simba Ayatollah Khomen simba mwenyewe aliye zaa simba

View: https://youtube.com/shorts/oORMerV1RJU?si=923Jj41NZURegRyx
 
Iran wa buza na Israel wa tandale
Pwagu na pwaguzi ngoja tuone mwisho wake
 
Kuna Missiles iran wametengeneza ni fake ndio wanazo zipiga wamezitia kiasi fuel zikipigwa zinawaka.

Okay tuchukulia kapiga kwani Iran ana Missiles ngapi kwenye akili yako, kumbuka Iran hizo iMissiles zilizo toka kwenye nventory zingine zinaingia ni output na input katika mda huo.
 
Ayatollah Ali Khomen, hauna tena deni na dunia alichofanya hamna nchi yeyote ambayo umepiga miji ya Israel.

Tuliaminishwa kuwa Israel huwezi kumpiga.

Netanyahu alisema nchi yeyote ijaribu kurusha hata jiwe Israel waone😂
 
Ayatollah Ali Khomen, hauna tena deni na dunia alichofanya hamna nchi yeyote ambayo umepiga miji ya Israel.

Tuliaminishwa kuwa Israel huwezi kumpiga.

Netanyahu alisema nchi yeyote ijaribu kurusha hata jiwe Israel waone😂
Kabisa kabisa


View: https://youtube.com/shorts/bG6DM8EFYTs?si=OtcN3bfEOwvF_u0C


View: https://youtube.com/shorts/bie1KPWprMU?si=ju8-sVq4dZGrq5A7
Tazama combo hicho 5minutes kiko Tela Aviv



View: https://youtube.com/shorts/38UWIFAZMF8?si=3J3vTY3QljobguO2
 
Back
Top Bottom