Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

Huntress

Member
Joined
Feb 16, 2026
Posts
13
Reaction score
17
Iran has launched an aerial strike involving drones and missiles that hit Saudi Arabia’s major Saudi Aramco oil refinery and export hub at Ras Tanura on the Gulf coast, forcing the facility to temporarily shut down operations as a precautionary measure.

Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana, hawa vibaraka wanageuka jirani zao kisa wazungu!!
 
Huu sasa ni ujinga.
Kwanini usipige kambi za jeshi na vitu vya kivita.

Sasa oil hiyo itaaffect Dunia nzima.
Au Iran anataka afe na kila mtu, kwamba tugawane tu mbao mtumbwi uzame sizami peke yangu
Ukikaribisha adui na ukaishi nae kwako usinipangie namna ya kushughulika nae. Maana ninyi nyote ni wanafiki na ni maadui mipango yote ya kunidhuru mnaipanga kwa pamoja!

Utashughulikiwa tu
 
Je saudia ina ugomvi na iran? Kulenga maeneo ya kimkakati ya marekani ndani ya nchi nyingine ni uchokozi na inatakiwa yajibiwe haraka na kwa nguvu zote. Naona iran inaenda kusambaratika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…