Hamna kitu hapo hao wanatafuta namna ya kujineemesha tu kwa kisingizio cha ushirikiano na Afrika na wala wasifikiri wanaweza kuja kusilimisha watu hapa kwa upanga kama zama hizo.
ImeloaWana akili kubwa na ni vizuri kupata marafiki tofauti
Wazungu kwa sasa basi kwani nchi nyingi zinafanya mambo makubwa na mzungu hana nguvu zile za kuzuia kila kitu
Sisi akili yetu ni kuwaza udini tu
Hakuna wabaguzi kama watu weusi halafu masikini wa kutupa
Iran inajulikana ni mfadhili wa ugaidi duniani. Waafrika tuchukue tahadhariWana akili kubwa na ni vizuri kupata marafiki tofauti.
Wazungu kwa sasa basi kwani nchi nyingi zinafanya mambo makubwa na mzungu hana nguvu zile za kuzuia kila kitu.
Sisi akili yetu ni kuwaza udini tu.
Hakuna wabaguzi kama watu weusi halafu masikini wa kutupa
Tulia wewe! Kwani ni nani asiyejua kwamba iran anafadhili vikundi vya kigaidi kueneza dini?Hivi huwa unafikiria kwanza kabla ya kuandika! Wapi umeona watu wanasilimishwa kwa upanga? Au kulazimishwa!
Kuliko mmarekani na mchele wakeIran inajulikana ni mfadhili wa ugaidi duniani. Waafrika tuchukue tahadhari
Kila mmoja ana mawazo yake
Ina uwezo huo?Iran’s aims to unify the African Nations into forming an economic powerhouse, finally connecting Africa to Asia
Kila mmoja ana mawazo yake
Ni kuchambua unachoona kinafaa
Ukiaminishwa kila siku kuwa mimi ni mbaya hata nikuokoe kwenye ajali bado utaniona mbaya tu
Ndio baadhi ya binadamu walivyo
Na yeye ana mawazo yake
🤣🤣🤣🤣 Sasa iran ajineemeshe nn huko niger?iran ana uranium nyingi kuliko niger mafuta ndio balaa huku africa anatafuta masoko tu ya products zao na kuwaharibia masoko westHamna kitu hapo hao wanatafuta namna ya kujineemesha tu kwa kisingizio cha ushirikiano na Afrika na wala wasifikiri wanaweza kuja kusilimisha watu hapa kwa upanga kama zama hizo.
mbona unaandika kwa hasira kubwa? kwani huyo mfaransa amefanya nn chamaanaHamna kitu hapo hao wanatafuta namna ya kujineemesha tu kwa kisingizio cha ushirikiano na Afrika na wala wasifikiri wanaweza kuja kusilimisha watu hapa kwa upanga kama zama hizo.
Cha ajabu huko Sahel vinapigwa vikundi vya Kigaidi anaelia ni mfaransa na sio Iran.Iran inajulikana ni mfadhili wa ugaidi duniani. Waafrika tuchukue tahadhari
chuki tu huyu zimemjaa amekua Kama mwanamke alieachikaHivi huwa unafikiria kwanza kabla ya kuandika! Wapi umeona watu wanasilimishwa kwa upanga? Au kulazimishwa!