Pia hajuwi Iran kuna makanisa Mazuri pengine ata Africa nzima hayapo kwa Tanzania ni 100% hakuna makanisa mazuri kama Iran!!!Unajua kuna vitu nashindwa kuvielewa huwa binadamu tunafikiria nini tunapenda kujifariji kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine kutokana tu kupishana kiitikadi tu. Hivi ungeandika Pombe yaua 27 Iran, nini kingepungua katika habari yako. Sote tunafaham Iran ni nchi ya kiislamu ujumbe wako pia ungefika, lakini malengo yalikua kuongelea imani ya mtu mwengine. Tunasafari ndefu sana ....
Iran si nchi ya KiislamUnajua kuna vitu nashindwa kuvielewa huwa binadamu tunafikiria nini tunapenda kujifariji kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine kutokana tu kupishana kiitikadi tu. Hivi ungeandika Pombe yaua 27 Iran, nini kingepungua katika habari yako. Sote tunafaham Iran ni nchi ya kiislamu ujumbe wako pia ungefika, lakini malengo yalikua kuongelea imani ya mtu mwengine. Tunasafari ndefu sana ....
Tujitahidi kuelewa kabla ya kujibu, rejea katika hoja yangu ya msingiIran si nchi ya Kiislam
Tujitahidi sana kusoma,kabla ya kusema
Tujitahidi kuelewa kabla ya kujibu, rejea katika hoja yangu ya msingi
Kwanini wao hujiita nchi ya kiislam?Kwan ungesema iran tu isingetosha mpaka uutaje uislamu.
Jamhuri ya Kiislamu ya watu wa IranKwan ungesema iran tu isingetosha mpaka uutaje uislamu.
Tunatumia hisia zaidi katika maamuzi yetu.Hasahasa most of us tu wakristo au waislamu si kwa sababu tumechagua we found ourselves in it.Pia hajuwi Iran kuna makanisa Mazuri pengine ata Africa nzima hayapo kwa Tanzania ni 100% hakuna makanisa mazuri kama Iran!!!
Ila Dini huwa zinaharibu vichwa vya watu sana Tuna fikia hatua ya kujibanguwa na kujiona sisi wenyewe hatufai ila wapo wateule wanafaa kuishi na kutukuzwa zaidi ya wengine!!! Tumedanyanywa tukadanganyika sijuwi Tumekuwa ndondocha bila kujitambua!!!
Wewe!! hiyo ni big news, lazma ipambwe.Unajua kuna vitu nashindwa kuvielewa huwa binadamu tunafikiria nini tunapenda kujifariji kwa kusababisha maumivu kwa watu wengine kutokana tu kupishana kiitikadi tu. Hivi ungeandika Pombe yaua 27 Iran, nini kingepungua katika habari yako. Sote tunafaham Iran ni nchi ya kiislamu ujumbe wako pia ungefika, lakini malengo yalikua kuongelea imani ya mtu mwengine. Tunasafari ndefu sana ....
Kumbuka yule aliyejenga misikiti Uganda na hata Dodoma kuna msikiti wa Ghadafi siku walipoingia kwake walikuta mabox ya kila aina ya Whiskey, Bland na Champagne. Huyu ndiye alikuwa anajiita mwislam no. 1.Kujiita taifa la kiislam na kuwa waislam ni vitu viwili tofauti kabisa na kwa hilo Iran ni mfano mzuri sana.
Wanajiita taifa la kiislam lkn wanayoyafanya inaonyesha kuwa ni makafiri wa kutupwa km wana mipango ya kidunia ya kutaka kuwaangamiza jamii zingine na kueneza chuki dhidi ya wale wenye imani tofauti na wao.
Wana mipango ya kuwa na silaha kali za maangamizi kitu kinachoashiria kuwa hawana imani na huyo Allah kuwa wakimuabudu ataweza kuwasaidia ndio maana wanaamini sana the second opinion ambayo ni silaha za maangamizi.
Wanaamini zaidi ktk violence as a way of settling political quagmires rather than dialogue which is a Godly approach and the civilized way of settling earthly disputes.
My Take: Hawa watu ni binadamu tu kama wengine ila wanatumia dini kama kichaka cha kujifichia tu wanapotenda maovu yao. Hawana tofauti na wale Makuhani Wakuu na Masudukai wa zama zile walioshindwa kumrushia jiwe hata moja yule Mama. These people are great Hypocrites.
Huenda ikawa ni big news kwa mtazamo wako I can't argue. Hongera for showing your characterWewe!! hiyo ni big news, lazma ipambwe.
Jina rasmi la Iran lazima neno uislamu liwepo.Kwan ungesema iran tu isingetosha mpaka uutaje uislamu.