Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,577
- 38,169
Kama hawajiwezi uliwahi wasikia lini wakiwapigia magoti wamagharibi wakiomba msaadaAfu wavaa pedo wa Tz wqnasema Iran anajiweza. Vikwazo visikie tu
Wairan wana athirika sana navikwazo ila bado wanajiweza sana
Ukiachana na mataifa mnayoyaita makubwa kama RUSSIA na CHINA Kuweza Kuhimili Vikwazo vya US Lini umewahi sikia wa IRAN Wakiomba Msaada kisa Vikwazo Tuuh ?!