RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,422
- 7,174
Siku ya kufanyaje?Ipo siku.....
Siku ya kufanyaje?Ipo siku.....
Saudi Arabia hana F_35'Waasi wa kule Yemen walishaidondosha moja ya Saudia, ni kipindi kile Trump kaisifia F35
Usisahau wakati tunasubiri, vitoto vya kiajemi vinachapwa utapiamlo mkali!!Ngoja tusubiri hiyo siku ambayo hilo taifa lako teure litakapo pitisha ndege zao.
Ndege kuangushwa ni kawaida labda kama umesomea catering na umeajiriwa 'Mangesho'Saudi Arabia hana F_35'
Ile ilioangushwa ilikua f-15 mkuu
Lakini na we we usisahau wakati jiwe akitumia pesa kununua mapanga boi huku watoto wetu wanasomea chini.Usisahau wakati tunasubiri, vitoto vya kiajemi vinachapwa utapiamlo mkali!!
Tuendelee kusubiri mkuu!!!
Wote group moja yaani jiwe na ayatola.Lakini na we we usisahau wakati jiwe akitumia pesa kununua mapanga boi huku watoto wetu wanasomea chini.
Lakini pia usasahau Marekani hana tofauti na jiwe katika kurazimisha kila mtu akubali anachotaka yeye hata kama sio sahihi.Wote group moja yaani jiwe na ayatola.
Wala sijasahau mkuu, lakini ni Heri ya adui mwerevu kuliko rafiki mpumbavu!Lakini pia usasahau Marekani hana tofauti na jiwe katika kurazimisha kila mtu akubali anachotaka yeye hata kama sio sahihi.
Unamaanisha nini?Wala sijasahau mkuu, lakini ni Heri ya adui mwerevu kuliko rafiki mpumbavu!
Heri ya adui (trump) mwerevu kuliko "juhudi" rafiki yetu zoba!Unamaanisha nini?
Lakini pia mwerevu ni yule anaye simamia kile anacho kiamini bila kujali nini kitakacho mtokea mfano lisu.Wala sijasahau mkuu, lakini ni Heri ya adui mwerevu kuliko rafiki mpumbavu!
Lakini hizi bavar 373 si wanazo toka zamani?
Hiyo new defense system itaweza kweli kupambana na F-35 Lightning II joint strike fighter fifth generation stealth invisible ??
..............Write your reply.........