Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Hayo maneno unafikr iran kaanza kusema jana?Na wakifute hiki ki-nchi uchwara cha Israel, hakika nitafurahi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
... Ona Shia mwenzio akichinjwa kama mbuzi huko Makkah! Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia - JamiiForums. "Mazayuni" watu wabaya sana!Na wakifute hiki ki-nchi uchwara cha Israel, hakika nitafurahi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ayatollah ni kelele tu Mkuu ila anaujua vizuri moto wake endapo atafanya kosa la kujaribu kurusha bomu Israel; Iran itakula kichapo ambacho hakijawahi kufikiriwa!Hahaha! Eti utakuwa mwaka wao wa mwisho kusheherekea. Dah!
Siyo iran tu anaeweza kuifuta kwenye ramani,hata Mimi naweza,Na wakifute hiki ki-nchi uchwara cha Israel, hakika nitafurahi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichofuata ni mayowe ya NCHI ZA KIISLAMU ZINAONEWA SANA,Hii hadithi inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000(s) wakati Taliban wanasimama juu milimani kule Afghanistan wakinyanyua AK 47 zao na kujinadi kuwa ;Iwapo USA angengia kwao wangemtia adabu.Mwishowe sikumbuki ilikuwaje.
Hahahahaaa! Nakumbuka mwamba mmoja wa magharibi alikuwa anasema..."we will smoke you out of your tunnels/hideouts "...!Kilichofuata ni mayowe ya NCHI ZA KIISLAMU ZINAONEWA SANA,
ALLAH ATATUNUSURU WAJA WAKE
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ameanza kuzungumza haya Maneno muda mrefu Sana, Hana uwezo wa kufanya huo ujinga, Kwanza amezungukwa na kambi za marekani nyingi sana, ambazo zina mashine zinazochunguza kila mradi unaofanyika hapo Irani. Kwy Google ukiangalia tuuu military base zilizopo karibia na Iran, zinaonyesha kwamba pale mashariki ya kati hakuna yeyote mwenye uwezo wa kumsumbua IsraelAyatollah ni kelele tu Mkuu ila anaujua vizuri moto wake endapo atafanya kosa la kujaribu kurusha bomu Israel; Iran itakula kichapo ambacho hakijawahi kufikiriwa!
Angalieni izo Military Base zilizopo karibia na IraniIran ameanza kuzungumza haya Maneno muda mrefu Sana, Hana uwezo wa kufanya huo ujinga, Kwanza amezungukwa na kambi za marekani nyingi sana, ambazo zina mashine zinazochunguza kila mradi unaofanyika hapo Irani. Kwy Google ukiangalia tuuu military base zilizopo karibia na Iran, zinaonyesha kwamba pale mashariki ya kati hakuna yeyote mwenye uwezo wa kumsumbua Israel
Iraq chini ya sadam alirusha scud inside Israel zaidi ya Mara mbili lakini hakukuwa response yoyote ya haraka..Ayatollah ni kelele tu Mkuu ila anaujua vizuri moto wake endapo atafanya kosa la kujaribu kurusha bomu Israel; Iran itakula kichapo ambacho hakijawahi kufikiriwa!
Kwa kukusaidia tu,, kwa Sasa hakuna base ya marekani nchini Pakistan..fakeAngalieni izo Military Base zilizopo karibia na Irani
Ni shidaView attachment 1020511
Sent using Jamii Forums mobile app
Yalishapimwa na yakaonekana hayana madhara yoyote; why should you waste resources kwa kitu ambacho hakina madhara?Iraq chini ya sadam alirusha scud inside Israel zaidi ya Mara mbili lakini hakukuwa response yoyote ya haraka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuangalia VICE utaona jamaa wanavyozidi kugain controll, Usisome na kusikiliza sana vyombo vya habari kutoka west wanaficha mambomengi sanaHii hadithi inanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000(s) wakati Taliban wanasimama juu milimani kule Afghanistan wakinyanyua AK 47 zao na kujinadi kuwa ;Iwapo USA angengia kwao wangemtia adabu.Mwishowe sikumbuki ilikuwaje.
Kwa Mara ya kwanza unakili yakwamba uwepo wa marekani mashariki ya kati ndio kunaifanya Israel kuwa salama bila hivyo Israel haina uwezo wa kujilinda.Angalieni izo Military Base zilizopo karibia na Irani
Ni shidaView attachment 1020511
Sent using Jamii Forums mobile app