Iran: Makamu wa Rais aambukizwa kirusi cha Corona

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,650
48,415
Hiki kirusi hatari, hakichagui nani wala nani, kinatesa wote, Mungu atunusuru Afrika....

=====

An Iranian vice president who was a spokeswoman for the 1979 hostage-takers during the US embassy crisis has been infected with the new coronavirus.

Masoumeh Ebtekar, regarded as the most powerful woman in Iranian politics, was said to have contracted the infection this week, according to local media.

She was seen sitting near President Hassan Rouhani during a meeting of Iranian cabinet members yesterday. Ebtekar's case was said to be mild and she has not been admitted to hospital.

She became known as Screaming Mary during the 1979 US embassy crisis in Tehran when she acted as an English-speaking spokesman for the hostage takers.

Her diagnosis comes as it emerged today that Iran's former ambassador to the Vatican, Hadi Khosroshahi, died of coronavirus.

News of Ebtekar's infection was published today by the English-language IRAN state-owned daily newspaper via its Twitter account.

Ebtekar was known as 'Mary' and also 'Screaming Mary' for her nightly televised rants against American imperialism throughout the 1979 US embassy hostage crisis in Tehran.

Source: Daily Mail
 
Hapa nawaza ikiwa kinamtesa makamu wa rais wa nchi kubwa kama ile na mahela yote yale, makajamba sisi wa huku vipi aisei tutapoteana....
Hii kitu mwanzoni nilidhani litakuwa tatizo dogo huko China ila kirusi kinazidi kutakapaa. Jama walikuwa wanasema kama corona itaendelea, wataahirisha Olympics huko Japan. Wanasema mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa wakati wa WWII.
 
Sio utani tena, hii ni balaa halafu naona nchi zetu za Afrika hazichukulii serious, hapa kwetu Kenya kuna ndege imetua na Michina mpaka ikanitia kiwewe jameni. Uongozi wa nchi hii sijui kuna wakati hutumia kinyesi kuwaza.
 
Hapa nawaza ikiwa kinamtesa makamu wa rais wa nchi kubwa kama ile na mahela yote yale, makajamba sisi wa huku vipi aisei tutapoteana....
Dah!.. Mkuu acha tu hasa ukizingatia huduma zetu za afya ni duni mno kuanzia vifaa mpaka wataalamu.

Mungu tu ndiye atakayeliepusha bara letu zuri (Africa) na hili janga.
 
Sio utani tena, hii ni balaa halafu naona nchi zetu za Afrika hazichukulii serious, hapa kwetu Kenya kuna ndege imetua na Michina mpaka ikanitia kiwewe jameni. Uongozi wa nchi hii sijui kuna wakati hutumia kinyesi kuwaza.

Dah!.. Mkuu acha tu hasa ukizingatia huduma zetu za afya ni duni mno kuanzia vifaa mpaka wataalamu.

Mungu tu ndiye atakayeliepusha bara letu zuri (Africa) na hili janga.
Aisee, mi mpaka naogopa ukizingatia yule jamaa wa "Vaccine" alishasema itauwa watu wengi Afrika.
 
Sio utani tena, hii ni balaa halafu naona nchi zetu za Afrika hazichukulii serious, hapa kwetu Kenya kuna ndege imetua na Michina mpaka ikanitia kiwewe jameni. Uongozi wa nchi hii sijui kuna wakati hutumia kinyesi kuwaza.
Hawa viongozi wa hizi nchi zetu zinazoendelea hawajawahi kuweka afya ya raia wao kama kipaumbele Chao.

Tena utakuta hata hao wageni hapo airport (wachina) walifanyiwa ukaguzi wa kulipua lipua tu.

Africa yetu ngumu sana kusema kweli.
 
Africa haufiki huo ugonjwa, kwa sababu kuna joto kali sana, kama wao kulivyokua hakuna malaria kutokana na baridi kali basi na sisi hatupati huo ugonjwa kutokana na joto kali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia ramani ambapo wagonjwa wamepatikana, utaona wapo juu ya tropiki ya kansa, kama hawapatikani kwenye joto mbona kwenye tropiki ya kaprikoni (ambako kuna ubaridi) pia hawapo?

Tusubiri kipindi cha baridi mwezi wa sita (upande wa kusini) tuone.
 
Hiki kirusi hatari, hakichagui nani wala nani, kinatesa wote, Mungu atunusuru Afrika....

An Iranian vice president who was a spokeswoman for the 1979 hostage-takers during the US embassy crisis has been infected with the new coronavirus.

Masoumeh Ebtekar, regarded as the most powerful woman in Iranian politics, was said to have contracted the infection this week, according to local media.

She was seen sitting near President Hassan Rouhani during a meeting of Iranian cabinet members yesterday. Ebtekar's case was said to be mild and she has not been admitted to hospital.

She became known as Screaming Mary during the 1979 US embassy crisis in Tehran when she acted as an English-speaking spokesman for the hostage takers.

Her diagnosis comes as it emerged today that Iran's former ambassador to the Vatican, Hadi Khosroshahi, died of coronavirus.

News of Ebtekar's infection was published today by the English-language IRAN state-owned daily newspaper via its Twitter account.

Ebtekar was known as 'Mary' and also 'Screaming Mary' for her nightly televised rants against American imperialism throughout the 1979 US embassy hostage crisis in Tehran.

Waajemi kidude kimewanasaa na kinakaaa kuwatoka, juzi waliongea kibabee kwamba wanashughulikia corona chap chap kwa haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom