Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,248
- 15,069
Kwamba wameishiwa Missile mkuu?Teh teh teh sasa hivi mmehamia huku baada ya missile kuwa depleted
Mzigo umekata pia launchers zao nyingi zimepigwa na huko majini hawana Ngalawa hata moja yakujitutumua.Kwamba wameishiwa Missile mkuu?
Aisee,ni hatari sana.Mzigo umekata pia launchers zao nyingi zimepigwa na huko majini hawana Ngalawa hata moja yakujitutumua.
Mfa maji haishi kutapatapa Mkuu.Teh teh teh sasa hivi mmehamia huku baada ya missile kuwa depleted
Ni kweli ila sio woteWaislamu wengi ni majuha sana.
Nyie kweli mna wasikiliza USA na Israel na propoganda zao hahaha sa kwa tarifa yenu target zote walizo kuwa wanapiga Israel na USA wakifikiria silaha kumbe ni mchoro special wamekuja kugundua bada ya kuzifatilia video za hizo target hakuna kinacho ruka kwenye hizo target zaidi ya kunguza silaha zao bure tena zenye thamani kubwa sana hapo ndio mjue vita ni akili.Mzigo umekata pia launchers zao nyingi zimepigwa na huko majini hawana Ngalawa hata moja yakujitutumua.
Kweli ndio sababu wenye akili walikuwa na Mungu tofouti na sisi wao mungu wao amekufa, amepigiliwa msalabani afu akafufuka bada ya siku tatu, alizaliwa na binadamu na alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe afu yote tisa ana enda haja kubwa na ndogo na anapiga misosi na anapiga usingizi akilala sijui nani anaye ishikilia dunia 😆Waislamu wengi ni majuha sana.
Yani acha tu maamaee utadhani UTT- AMIS.Aisee,ni hatari sana.
Acha ushamba mbona hawajazimq hayo majaribio ya irani kama kweli wana hiyo technology ya kuzima majaribio ya iraniWanakojaribishia waambie kuwa, wao walishakuwa na nuclear kitambo kabla hata Ayatullah hajazaliwa na huwenda tayari wanazo zana za kuzima majaribio hayo
Waweze kumuua dikteta Ayatollah na wapambe wake wengine 49 halafu eti washindwe kujua makombora yalipo, mbona hii haiingii akilini..!!??🤷🤷🤷Nyie kweli mna wasikiliza USA na Israel na propoganda zao hahaha sa kwa tarifa yenu target zote walizo kuwa wanapiga Israel na USA wakifikiria silaha kumbe ni mchoro special wamekuja kugundua bada ya kuzifatilia video za hizo target hakuna kinacho ruka kwenye hizo target zaidi ya kunguza silaha zao bure tena zenye thamani kubwa sana hapo ndio mjue vita ni akili.
View: https://youtu.be/98Qvse3wXrA?si=d20-NUfI7-en6Jbl
Dogo tulizana Aliye kuwa kakataza Iran wasiwe na Nuclear USA na Israel walimua sasa Iran official Trump kakiri ana Nuclear. Iran ni Official Nuclear Power(Nchi ya 10 kuwa na Nuclear Duniani)Waajemi wa Buza poleni sana!
Kwamba hata hantambui kuwa hiyo clip ni AI....?!
Na kinachoongelewa hapo ingekuwa na ukweli ingemaanisha kuwa hiyo taarifa ni ya miaka ya nyuma, siyo sasa!
President Biden successor?!
Wewe unafaa kuwa msemaji wa Ayatollah wa Mpito Ritz kwa hapa Tanzania!Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho.
Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen
View: https://youtu.be/2lMBup-xlVo?si=URBYVLXw-5Udseao
Hahaha siwalikuwa wanamtumia yule General kisha weka ndani. Huyo ndio alimuza Nasurlah na Khomen.Waweze kumuua dikteta Ayatollah na wapambe wake wengine 49 halafu eti washindwe kujua makombora yalipo, mbona hii haiingii akilini..!!??🤷🤷🤷