Iran kashambulia Israel

Mleta mada unaelewa kiingereza au umecopy na kupest sehemu?
 
Mleta mada unaelewa kiingereza au umecopy na kupest sehemu?
Hapana hawa ma Administrator wa hi forum ni vichaa wao ndio wamebadilisha mada yangu. Yani nimeiona hii forum ni ya kitoto sana we unandika mambo mengine kabisa nawao wanabadilisha. Kama wanabisha nacho sema wachunguze nacho sema ni kweli au uwongo. Lazima yuko mmoja wao ni kichaa au wote ni vichaa.
 
uongo punguza maana hata mfungo wako ni wakushindia njaa.ulichotaka kushabikia ujinga kuleta habari ya uongo wamekitafuta na kujua ni kipi,kila mtu hapa jf hakitaka kuzusha na kuruhusu tu kipost kama facebook au youtube.
tutakuwa tunapoteza maana ya jf,ni mfatiliaji mzuri wa habari tena sio mambo ya wasanii,narudia acha kushadadia sijui imani yako sijui ni kipi mpaka ukaja kukurupuka
 
Huna akili
 
Hivi unajiona una akili timamu kweli
 
Inakera sana nnaposikia kombora limelipua sehemu alafu hamna vifo au vinatokea vifo vichache haya ni matumizi mabaya ya nguvu.
 
Kwa hio unakiri mlibadilisha maneno yangu sa simgeifuta tu thread kuliko kugeuza nilicho kisema
 
Vita ya kunguru?
 
😅😅😅ulikua unadanganya ukiwa uchi, ili kukusiri na aibu imebidi wakuwekee kizungu ili usaidiwe tafsiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…