Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
Huu unaoandika ni ujinga wa kihistoria. Israeli kama taifa imekuwepo kabla ya Great Britain. Soma kwenye historia uone.Hawakuepo pale, wamekuja kuwekwa na Uengereza na wakapewa silaha na hela
Unajua walikuwepo wakati Misri ikiwa superpower? Mfalme wa Israel alikuwa upande wa farao Neko alipopambana na Wakaldayo katika vita ya Kakemishi?
Wamekuwepo enzi za wafalme wengi akiwemo Iskanda mkuu na baadaye majenerali wake Kasanda, Lysimaki , Selukasi, na Tolemi?
Kapitie maandiko ya Wanahistoria wa kirumi walipotembelea mashariki ya kati waliwakuta akina nani pale.
Israeli imekuwapo maelfu ya miaka. Kusema wameletwa na Waingereza ni kukosea. BTW waingereza hawakutaka Wayahudi wakae pale. Soma historia uone walivyokuwa wanawazuia.