Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 15:40 UTC
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema hayo leo Ijumaa na kuongeza kuwa, "Adui yeyote atakayethubutu kukiuka uhuru wa kujitawala Iran katika ngazi yoyote ile, atakabiliwa na jibu kali ambalo litamfanya ajute."
Amesema vitisho vya Netanyahu dhidi ya Iran vinakiuka ibara ya 4 ya Sura ya 2 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kwamba Iran haiwezi kunyamazia kimya na kufumbia macho uvamizi wowote dhidi yake.
Netanyahu alitoa vitisho hivyo Julai 9 alipoitembelea kambi ya jeshi la anga la utawala huo wa Kizayuni katika eneo la Nevatim, ambapo alidai kuwa, "Iran inapaswa kutambua kuwa ndege zetu za kivita za F-35 zina uwezo wa kufika pahali popote katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo Iran na hata Syria."
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza bayana kuwa, vikosi vya ulinzi vya taifa hili vimejiandaa na viko tayari kutoa jibu kali kwa uvamizi na chochoko zozote za maadui.
Akijibu vitisho vingine vilivyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala khabithi wa Israel mwezi Agosti mwaka jana alipokitembelea kituo cha silaha za nyuklia cha Dimona, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif alieleza kuwa, "Iran, taifa ambalo halina silaha za nyuklia, linatishiwa kufutwa katika uso wa dunia kwa shambulizi la silaha za atomiki na mchochezi wa vita akiwa amesimama pambizoni mwa kiwanda cha kuzalisha silaha za nyuklia."
Tags
IRAN ISRAEL
4bsj80304c3bba1gfbn_800c450-jpeg.1152254
 
May Day

May Day

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Messages
1,454
Points
2,000
May Day

May Day

JF-Expert Member
Joined May 18, 2018
1,454 2,000
Si mziichape tujue moja, maneno meeeeengi yanatuchosha.
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,947
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,947 2,000
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 15:40 UTC
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema hayo leo Ijumaa na kuongeza kuwa, "Adui yeyote atakayethubutu kukiuka uhuru wa kujitawala Iran katika ngazi yoyote ile, atakabiliwa na jibu kali ambalo litamfanya ajute."
Amesema vitisho vya Netanyahu dhidi ya Iran vinakiuka ibara ya 4 ya Sura ya 2 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kwamba Iran haiwezi kunyamazia kimya na kufumbia macho uvamizi wowote dhidi yake.
Netanyahu alitoa vitisho hivyo Julai 9 alipoitembelea kambi ya jeshi la anga la utawala huo wa Kizayuni katika eneo la Nevatim, ambapo alidai kuwa, "Iran inapaswa kutambua kuwa ndege zetu za kivita za F-35 zina uwezo wa kufika pahali popote katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo Iran na hata Syria."
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza bayana kuwa, vikosi vya ulinzi vya taifa hili vimejiandaa na viko tayari kutoa jibu kali kwa uvamizi na chochoko zozote za maadui.
Akijibu vitisho vingine vilivyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala khabithi wa Israel mwezi Agosti mwaka jana alipokitembelea kituo cha silaha za nyuklia cha Dimona, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif alieleza kuwa, "Iran, taifa ambalo halina silaha za nyuklia, linatishiwa kufutwa katika uso wa dunia kwa shambulizi la silaha za atomiki na mchochezi wa vita akiwa amesimama pambizoni mwa kiwanda cha kuzalisha silaha za nyuklia."
Tags
IRAN ISRAELView attachment 1152254
Mh huyu Iran sidhan km hana nuclear maana sio kwa kujiamini hivyo
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,435
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,435 2,000

Lete source ya habari yako hii isije kuwa unatuzuga na mapenzi yako kwa Wafuga midevu na majini!!!!.
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,796
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,796 2,000
Yaani waziri mkuu anabishana na jenerali, hapo utaona tofauti kati ya Iran na hawa wapinga Yesu waliompa kichapo, wakati Rais wa Iran anakula kiyoyozi
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
15,688
Points
2,000
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
15,688 2,000
Hawa wanatakiwa waendelww kupigana kwa maneno.

Siku wakipigana kwa vita. Ndo mwanzo wa Vita kuu .ndo mwisho wa Dunia.
 
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
592
Points
1,000
chikanu chikali

chikanu chikali

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
592 1,000
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 15:40 UTC
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema hayo leo Ijumaa na kuongeza kuwa, "Adui yeyote atakayethubutu kukiuka uhuru wa kujitawala Iran katika ngazi yoyote ile, atakabiliwa na jibu kali ambalo litamfanya ajute."
Amesema vitisho vya Netanyahu dhidi ya Iran vinakiuka ibara ya 4 ya Sura ya 2 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kwamba Iran haiwezi kunyamazia kimya na kufumbia macho uvamizi wowote dhidi yake.
Netanyahu alitoa vitisho hivyo Julai 9 alipoitembelea kambi ya jeshi la anga la utawala huo wa Kizayuni katika eneo la Nevatim, ambapo alidai kuwa, "Iran inapaswa kutambua kuwa ndege zetu za kivita za F-35 zina uwezo wa kufika pahali popote katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo Iran na hata Syria."
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza bayana kuwa, vikosi vya ulinzi vya taifa hili vimejiandaa na viko tayari kutoa jibu kali kwa uvamizi na chochoko zozote za maadui.
Akijibu vitisho vingine vilivyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala khabithi wa Israel mwezi Agosti mwaka jana alipokitembelea kituo cha silaha za nyuklia cha Dimona, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif alieleza kuwa, "Iran, taifa ambalo halina silaha za nyuklia, linatishiwa kufutwa katika uso wa dunia kwa shambulizi la silaha za atomiki na mchochezi wa vita akiwa amesimama pambizoni mwa kiwanda cha kuzalisha silaha za nyuklia."
Tags
IRAN ISRAELView attachment 1152254
Wamepagawa hao waraabu si Wa kuwasikiliza
 
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2019
Messages
3,947
Points
2,000
Ummayed

Ummayed

JF-Expert Member
Joined May 21, 2019
3,947 2,000
Usiropoke km mnywa gongo.
Huyo Saddam Hussein alitumiwa na US.
Tena US alitoa msaada wa wanajeshi na vifaa advanced kwa Iraq iili iran ipigwe.
Vita ilichukua miaka nane.
NADHANI MAJIBU UNAYO IRAQ NA MAJESHI YA BUSH YALIFANYWA NINI MPK WAKA WITHDRAW FROM THE WAR.
Kwahiyo Iran usiifananishe na Iraq.
Na mbaya zaidi naye nowadays ana allies wake.
Nadhan mnajua Afghanistan,Pakistan hawa watu wakiwa vitani wanakuaje
Hata Saddam Hussein naye alikuwa na majigambo kama huyu Iran lakini mwisho wake cha moto alikipata!!!!
 
smarte_r

smarte_r

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Messages
794
Points
1,000
smarte_r

smarte_r

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2013
794 1,000
Iran: Israel isitutishe na F-35, jibu letu kwa chokochoko zake litakuwa kali
Jul 12, 2019 15:40 UTC
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya vitisho ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, jibu la taifa hili dhidi ya chokochoko za maadui litakuwa kali na la kuumiza.
Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema hayo leo Ijumaa na kuongeza kuwa, "Adui yeyote atakayethubutu kukiuka uhuru wa kujitawala Iran katika ngazi yoyote ile, atakabiliwa na jibu kali ambalo litamfanya ajute."
Amesema vitisho vya Netanyahu dhidi ya Iran vinakiuka ibara ya 4 ya Sura ya 2 ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa, na kwamba Iran haiwezi kunyamazia kimya na kufumbia macho uvamizi wowote dhidi yake.
Netanyahu alitoa vitisho hivyo Julai 9 alipoitembelea kambi ya jeshi la anga la utawala huo wa Kizayuni katika eneo la Nevatim, ambapo alidai kuwa, "Iran inapaswa kutambua kuwa ndege zetu za kivita za F-35 zina uwezo wa kufika pahali popote katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo Iran na hata Syria."
Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza bayana kuwa, vikosi vya ulinzi vya taifa hili vimejiandaa na viko tayari kutoa jibu kali kwa uvamizi na chochoko zozote za maadui.
Akijibu vitisho vingine vilivyotolewa na Waziri Mkuu wa utawala khabithi wa Israel mwezi Agosti mwaka jana alipokitembelea kituo cha silaha za nyuklia cha Dimona, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif alieleza kuwa, "Iran, taifa ambalo halina silaha za nyuklia, linatishiwa kufutwa katika uso wa dunia kwa shambulizi la silaha za atomiki na mchochezi wa vita akiwa amesimama pambizoni mwa kiwanda cha kuzalisha silaha za nyuklia."
Tags
IRAN ISRAELView attachment 1152254
mmh!!.... hawa nao kila siku kurushiana vijembe tu kama mabinti wa kizaramo.
si wachapane tu tujue moja.
 
Forum statistics

Threads 1,315,685
Members 505,292
Posts 31,866,785
Top