Iran inawezaje kufanya haya

Utasikia pia wakinasibisha na Wachina wakati Wachina nao ni makafiri wakubwa.
 
Msemaji wa upande wa pili secretarybird unalisemeaje hili?
 
Wewe unashangaa kambi haziishi, mimi mwenzio nashangaa na kujiuliza hawa Wairan haya mabomu wanayatoa wapi?
Missile launchers wanaziokota wapi!?

Maana Trump alishalipua kambi zao zote na jeshi lote alishalimaliza.
Pia wana sayansi, viongozi l, wanajeshi na wataalamu wengi wameuawa lakini jamaa bado wanafanya mambo yao
 

Mimi sikumjibu Marekani nimemjibu yule mmatumbi kama ww kashindwa kutumia vizuri kichwa chake na kuwaita Magaidi wenye kujitetea badala ya wale Wavamizi!!!

Upovu wake kujua nani mwenye
haki
Niwazi umetokana na Uzwazwa wa Ulokole wakeโœ๏ธ

Duniani sote tunajua ni Marekani na Israel kwa pamoja ndio wamemvamia Iranian๐Ÿ‘ˆ

Iweje mwenye kujitetea tumwite Gaidiโ—๏ธ niwazi kazwonga na pepo chafu la Ulokoleโœ๏ธ
 
Hahaha aliyebuni propaganda ana laana alaanike huko alipo

Yaani propaganda zimeweza kuwafanya watu kuwa Misukule
 
Mnase kibao ๐Ÿ˜
 
Ujinga sana mitanzania mifala sana
 
Tangu vita ianze February Iran anadai kushambulia na kuangamiza hizo kambi kila siku mpaka unajiuliza Marekani ana maelfu ya makambi mangapi kwenye hizo nchi.
Hii comment Yako mbona Iko vice versa!? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Maana Trump ndiye Huwa anasema Iran wameishiwa lakini tunacho kiona na kukisikia it's different
 
Comments nyingi imekaa kidini zaidi, ni Christians vs Islam's, kwani wahindu, budha na Pagani wanasemaje kwenye hili?
 
Wewe unashangaa kambi haziishi, mimi mwenzio nashangaa na kujiuliza hawa Wairan haya mabomu wanayatoa wapi?
Missile launchers wanaziokota wapi!?

Maana Trump alishalipua kambi zao zote na jeshi lote alishalimaliza.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Jamaa wana hoji upande mmoja eti kambi haziishi

Mbona hawashangai Huyo Iran nguvu Yao ya kijeshi haiishi tu licha ya kupigana na Nchi zaidi ya Moja

Ila binaadamu kweli wabinafsi Sana

Yaani binaadamu yupo Tayari kutetea upande Anao upenda hata kama anaona Kuna udhaifu Katka upande huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ