Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,351
- 11,172
Amen!God Bless Iran
Mbabe wa Missiles kasema
Hamas ni nini, Irani ni nini?Hamas nao walianza hivi hivi
Unaogopa ukiwa wapi?Kati ya kosa la karne watakuja fanya basi ni hilo, kitakachofuata mpaka naogopa
Very soon tutasikia vilio vya kobaaz wakiinung'unikia Israel muda si mrefu hata kuwa Israel inaua wanawake na watoto wa Iran, hata kwa vijigaidi vya hamas ilikuwa hivihivi leo hii Gaza imekuwa magofu, huku wanawake wa kipalestina wakikosa hata maji ya kujisafisha uchafu wa hedhi.Ukweli na uhalisia vinapowekwa pembeni kwa maslahi ya kidini. Bure kabisa.
Kwa maeneo ao uwezo lakin front yenyewe subir uonePersians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi.
Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu.
#TUTAKUWEPO
BREAKING:
๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ท Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports
Iranian military and government officials have already met to discuss their response to a potential strike by Israel.
The plans are involving an immediate counterstrike on Israel utilizing thousands of long-range ballistic missiles.
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1933026546584842422
Kazi kipimo cha utu Iran sio Iraq wala SYRIA jino kwa jino..Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi.
Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu.
#TUTAKUWEPO
BREAKING:
๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ท Iran is preparing to flatten Israel with thousands of ballistic missiles - New York Times reports
Iranian military and government officials have already met to discuss their response to a potential strike by Israel.
The plans are involving an immediate counterstrike on Israel utilizing thousands of long-range ballistic missiles.
View: https://x.com/Megatron_ron/status/1933026546584842422
Ukweli na uhalisia vinapowekwa pembeni kwa maslahi ya kidini. Bure kabisa.
Mnaongea kama vile October 2024 haipo kwenye kalenda.Very soon tutasikia vilio vya kobaaz wakiinung'unikia Israel muda si mrefu hata kuwa Israel inaua wanawake na watoto wa Iran, hata kwa vijigaidi vya hamas ilikuwa hivihivi leo hii Gaza imekuwa magofu, huku wanawake wa kipalestina wakikosa hata maji ya kujisafisha uchafu wa hedhi.
Siyo Godbless Lema kumbe?God Bless Iran
Mbabe wa Missiles kasema
Ayatollah ajiandae kukktwa pyumb
Mzayuni hawezi kuishambulia Iran wakati mazungumzo baina ya Marekani na Iran yanaendelea na Iran pia vivyo hivyo.Persians wanajiandaa kuigeuza Israel kifusi.
Mzayuni anasubiriwa ajichanganye tu.