Iran inaiogopa sana Israel.

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,259
Reaction score
13,634
Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.

Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
 
Kabla ya utawala wa Kiislamu haujachukua nchi ya Iran, Wayahudi wengi walikuwa wanaishi Iran. Iran ina vibaraka wengi sana wenye asili ya Kiyahudi. Israel inaijua Iran nje ndani.

Mfano mwingine ni China na Taiwan. US anaitaka sana vita dhidi ya China, China imewahi kutawaliwa na UK, kwahiyo China inafahamika kiundani sana na Magharibi. Ni kama Bara zima la Africa tuogope kuipiga na kuichukua Zanzibar. Hapo ndo mfano halisi wa China na Taiwan. Hapo ndio ujue US sio mtoto kama mashabiki wengi humu wanavyopiga domo.

Muda huu anakiwasha Ukraine dhidi ya Russia, anakiwasha dhidi ya Iran yeye mwenyewe na kumsaidia pia Israel. Na bado pia anapiga heavy military drills kwa Taiwan kujiandaa na Mchina akizingua.

Hii dunia ina wababe na mbabe wake mkuu ni USA.
 
Houthis told US officials in an Oman meeting that they won't attack American vessels, Israeli ships, or commercial vessels — only Saudi ones. This is a notable shift.Since after the May 2025 ceasefire the Houthis explicitly excluded Israel and kept targeting Israeli-linked shipping. The meeting included sanctioned Houthi official Mohammad Abdulsalam and Abdelmalik al-Ajri. Source: Reuters
 
ok.
 
pole sana
 
Kuishambulia now Israel ni kumpa credit Netanyahu kuelekea uchaguzi ujao...so Iran anajua hilo kuwa akishambulia Israel na Jamaa wakaanzisha vita tena vinampa excuse na huruma Bibi kwenye Box!
 
Anaiogopa Israel au siyo? Israel huyu huyu ambaye aliomba Marekani imsaidie kuishambulia Iran? Yani kupigana peke yake na Iran aliona aombe collabo?
 
Huwa bandiko zako za uongo sana kijana punguza uongo.
April 7 ambapo ceasefire ilipokua inajadiliwa Islamabad Israel ilishajitoa vitani mapema sana. Na sababu ya kujiondoa vitani ni kwasababu air defence batteries zilikua zimewaishia na hawakua na ulinzi wa anga tena. Ndio maana hata baada ya MOU kupita Israel ilifosi kuanzisha vita Marekani alisema hana tena uwezo wa kuprovide Air defence coverage kwa Israel. Kama unamjua Katz naye alisema Israel haina afya yakupigana na Iran kwasasa.
Hivyo Israel NDIYE ALIYEKIMBIA VITA.
 
Houthi kutokuishambulia US na Israel ni kuheshimu makubaliano ya 2025 ambayo waliingia baada ya kukubali kufungua baab al mandeb. Na unajua inaleta madhara gani kwa hilo!? USA na Israel wamekataa kumsaidia Saudi Arabia kupigana dhidi ya Houthi. Mwishowe Houthi amekamata miji yote muhimu na bandari zote muhimu za Yemeni. It means siku wakimvuruga Houthi naye anaweza kuwavuruga kupitia red sea.
 
Acha ujinga China haijawahi kutawaliwa na UK.

Punguza ujinga kufikiri vita ni kitu rahisi rahisi tu kama kubonya keyboard. Etii U.S anaitaka sana vita dhidi ya China kuna upumbavu mwingi sana humu.

Unafikiri hiyo China ni sawa na hiki kiinchi chako kilicho jichokea kila sekta chalii unakula mirungi nini ?
 
Mbona unaongea kwa hisia na mapenzi sana
 
Geuza andika israel inaiogopa sana iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…