wanachotaka Iran, mimi nanawa mikono, sanasana nitaburudika tu kuona show kama hii ya kaddafi, saddam, osama, mubarak, bel ali, na wenzao.
tatizo waarabu majigambo mengi lakini hawana lolote! yahani hawa jamaa ni watu waajabu sana
"Inawezekana kwa nchi zinazoendelea(masikini,ulimwengu wa tatu,dunia ya tatu) zote kuwapiga travel ban hawa viongozi wa West na US?
Isiwe One way tu! Wao kila siku vikwazo, vikwazo ..kuzionea nchi changa na viongozi wao!" (Nonda).
Ndugu Nonda, nchi changa ni zipi? Miaka hamsini lizee lizima bado linajiita mtoto mchanga!! Hapo ndipo tumekwamia - tunajivunia kuwa wachanga tunafikiri, kama watoto wachanga, tunasubiri kusaidiwa kama watoto!!!!!
hugo chavez hana kitu-ni propaganda zake tu kwenye media zinapoteza watu-yeye na nchi yake wana mkataba na marekani wa mafuta-tangu siku nyingi-10% ya mafuta yanayoingia u.s.a yanatoka venezuela-ndo maana u.s.a hana mapnago nae maana mambo yake anayatimizahuyu ni mwanaume alobaki pamoja na hugo chavez dunia yetu wote co yao tu au mushazoea misaada ya neti munaogopa kusema hata mkitiwa *****e wakaungane bac waje wampige au nato na us hawapo
hawatakubali makafiri na wayahudi mpaka mufate mila zao