Utawala wa Iran chini ya utawala wa jiislamu umewaua waandamaji zaidi ya 12,000 baada tu ya kuzima mitandao nchi nzima
Hii inaonyesha ni jinsi gani utawala huo usivyo na huruma jwa watu wake wenyewe!! Na umeonyesha ni jinsi gani utawala huo ni wa kikatili.
View attachment 3529516