Iran imelipua meli ya Israel

Iran imelipua meli ya Israel

Tatizo la iran walianza kununua mabomu kwanza kabla ya kufundishwa shabaha

Hii ni mara ya tatu nawaona wanapiga off target
IMG_20201003_144434.jpg

Off target za hivi?,hakuna nchi imeweza kufanya hivi kutojea umbali wa karibu km 1000.
 
sioni mlipuko hapo mi naona auto focus na object detectors ambazo hata kwenye tecno zipo
It is like surgical,the aim there also was sending a message,that they can hit deep inside saudi arabia,target pattern demonstrate,iranian have acquired precision targeting capability
 
sasa hiyo mikwara ya kuwatisha kwa vi meseji mbona hata malawi anaweza kumtisha south africa but doesn't mean he has really ability to conquer SA
 
Pin point accuracy surgical strike.
Few countries have this ability. So iran was sending messages to Saudis kuwa wakae kwa kutulia.
 
Basi utasikia hapo wanaonea wavaa kobazi huko jangwaani Syria eti ndo wanalipa kisasi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106].

Pigeni Tehran kama mna ubavu.
Wanadai wameshalipa kisasi,jana
 
sasa hiyo mikwara ya kuwatisha kwa vi meseji mbona hata malawi anaweza kumtisha south africa but doesn't mean he has really ability to conquer SA
Inahusiana na move za chess,,as far as hujui,leo hii iran inacontrol iraq,syria,lebanon,yemen,part of afaghnistan and pakistan,,,yaani ni emperial power,ndo maana US wanahaha sana kuhusu iran,,
Ili uwe imperial power inahitaji move zako zote uzifanye kimahesabu sana,,
Kuna sababu kwanini america wanagombana na irani tangu 1979 lakini bado hajajaribu kufanya invasion
 
sasa hivyo vi nchi ambavyo iran anavi control vina power gani ya kijeshi kumtisha US?

Burundi na malawi wakifanya military alliance wanaweza kumpiga SA au mnigeria?

muunganiko wao ni kama organization ya vicoba maana hauna madhara kwa mpinzani
 
Hauna madhara kwako labda lakini kama unafuatilia habari za kimataifa hatuwezi kuongea hivyo
 
Ubishi wako hauna subsitance,,kumpiga ndo nini?,kwani tunaongelea swala la nani ampige nani?
 
tunaongelea swala la ubabe na nguvu ya kijeshi pamoja na uwezo wa kiintelijensia na ndio maana kichwa cha habari kimesema iran yalipua ndege ya israel. Kwa shambulio hilo ni indication inayoonesha iran kampiga israel

Pia hata wewe umeniambia kwamba Iran alituma meseji kwa opponent wake akionesha kwamba ana uwezo wa kupiga sehemu nyeti kwenye nchi hiyo

maelezo hayo yanaonesha wazi kua ulikua unaongelea swala la iran kuweza kumpiga israel, saud arabia
 
Hauna madhara kwako labda lakini kama unafuatilia habari za kimataifa hatuwezi kuongea hivyo
habari za kimataifa wote tunazielewa, tunaelewa nguvu ya kijeshi ya iran ni weakest kwa US.

Tunaelewa desire ya muiran na laiti kama ile power ya kijeshi ya marekani angekuwa nayo yeye angekuwa kaisha mpiga mapema mmarekani na kumtawala

tunaelewa Iran ni watu wa propaganda kama wewe unakubali ni mfuatiliaji wa maswala ya kimataifa naomba uniambie Trump yuko gereza gani hapo Iran?
 
tunaongelea swala la ubabe na nguvu ya kijeshi pamoja na uwezo wa kiintelijensia na ndio maana kichwa cha habari kimesema iran yalipua ndege ya israel. Kwa shambulio hilo ni indication inayoonesha iran kampiga israel

Pia hata wewe umeniambia kwamba Iran alituma meseji kwa opponent wake akionesha kwamba ana uwezo wa kupiga sehemu nyeti kwenye nchi hiyo

maelezo hayo yanaonesha wazi kua ulikua unaongelea swala la iran kuweza kumpiga israel, saud arabia
Kwanza iran,wamekanusha,,sasa suala la iran kumpiga israel liko wapi?,halafu hilo tukio huwezi kusema iran kampiga israel,,hata israel anapishambulia syria,huwezi kusema kampiga iran,,
Wala tukio la majuzi kambi ya marekani kupigwa huko ebil,iraq huwezikusema iran kaipiga marekani,labda kupiga isiwe na maana nayoifahamu,,
Iran kuipiga israel au virsevesa,inatakiwa pawepo na direct military confrotation,,
Sio mambo ya proxy,ambushi,sabotage,waylaying etc
 
Kwanza iran,wamekanusha sasa suala la iran kumpiga israel liko wapi?

halafu hilo tukio huwezi kusema iran kampiga israel,,hata israel anapishambulia syria,huwezi kusema kampiga iran,,

Wala tukio la majuzi kambi ya marekani kupigwa huko ebil,iraq huwezikusema iran kaipiga marekani,labda kupiga isiwe na maana nayoifahamu,,
Iran kuipiga israel au virsevesa,inatakiwa pawepo na direct military confrotation,,
Sio mambo ya proxy,ambushi,sabotage,waylaying etc
Kukanusha sio kigezo kwamba hawajahusika, wanaweza wakakanusha kwa kuogopa kurudishiwa.

Saud arabia ilikanusha kwamba haijui chochote kuhusu mauaji ya jamal khashog lakini baadaye zilipotolewa hoja zilizokosa majibu wakakubali kwamba alikufa kwa fist fighting

kwamba kwakua hakukuwa na madhara kwenye shambulio ambalo iran kalifanya basi tuondoe dhana ya Iran kuhusika?

Kama alihusika je lengo lilikuwa ni nini?

Naweza kukubaliana na wewe kwa dhana moja, kwamba israel hajapigwa kwasababu shambulizi la iran halikuwa na madhara kwa israel
 
Iran inapiga civilian targets wakati israel inalenga military, cowards!
 
Back
Top Bottom