Iran imekwisha!


ni kweli ukristo umetokana na uyahudi na yesu ni myahudi lakin wao hawamkubali yesu kama kristo wanamchukulia kama gaidi asiyeitakia mema dini yao na anachomwa moto saiz kwajil ya kukufuru kwa kujiita masiya,hata mafundisho yake yesu kwao hawayakubali wanaendelea kufuata torati waliyopewa na musa na talmud

haitaji kuongea na myahudi kujua msimamo wao wakati magazet,mitandao, vitabu vyao mbalimbali na utaratibu wao wa kusali kama dini hakuna sehemu wanamtambua yesu kama nabii wala masiya na hata ufufuko wa yesu wanachukulia ni utapeli mkubwa

kuna tofauti kubwa ya uyahudi na ukristo ndugu huku unakatazwa kula baadhi ya chakula kama nguruwe nk kwani ni najis na unavunja sheria wakati wakristo wanakula sasa wewe kweli unaielewa dini yako?madhani ww unajichanganya zaidi practically kimatendo na kimafundisho kama unakula kitimoto halaf unajifunza kwenye agano la kale kitabu cha wayahud
 
Hakuna Myahudi nimjuaye (hapa tukizungumzia mfuasi wa dini ya Kiyahudi) anyemheshimu Yesu. Acha kupotosha. Huenda Myahudi asiyejali au asye dini akawa kwa kibinadamu tu anamheshimu Yesu, kama watu wengi wengine wa dini mbali mbali au hata wasio dini.
Dini ya Kiyahudi (Judaism) iliyotokana na vitabu vya Tanakh, Talmud na Torah wenyewe wanadai imeendelea bila kukatika kwa muda wa miaka 3,500....vipi Ukristo wa miaka 2012 iliyopita uwe sehemu ya Uyahudi?
Hebu jaribu kwenda Israel na Biblia yako uhubiri kwenye barabara za Tel Aviv, au Haifa, au Jerusalem kama hawatakutemea mate!
Kuhusu Uzayuni ni kweli kabisa, mimi natafautisha baina ya Uyahudi kama dini na Mayahudi Wazayuni ambao wana fikra ziyakazopelekea kuteketeza ulimwengu, kwani haiwezekani binadamu wote kuja siku moja kuwa watumwa kwa kikundi cha watu wanaojiona ni 'wateule' kwa maana ya 'racists' ya kuwafanywa wengine si kitu. Hii ndiyo basis ya Zionism.
 
 
 

Kuuhusu nyekundu: Mpendwa jinsi unavyojibu sidhani ya kwamba una habari za kutosha kuhusu imani ya Kiyahudi na mikondo yake ili kutofautisha kati ya wale walio wengi, wachache, wenye maana na wasio na maana. Naona tuache, unapenda maoni yako, upende tu!

kihusu kibichi:
a) jaribu kujielimisha kihistoria. Si Wayahudi waliomwua Yesu bali Waroma (ponsio Pilato) - miaka 2000 iliyopita.
b) jaribu kuwaza kuna tofauti sana kati ya mawazo wa viongozi wa Kiyahudi miaka 2000 iliyopita (tena kutoka kundi la makuhani ambao waliopotea kabisa hawako tena) na mawazo yaliyopo sasa
c) jaribu kuwaza ya kwamba mahitaji ya siasa ya nchi ya Israeli si lilelile kama mawazo yako juu ya dini (Nazareti ni sehemu ya Israeli - hawataiacha kamwe... kwa sababu ya jiografia ya nchi yao!)
d) ukumbuke: kuna pia wakristo wengi wasiojali maana pa mahali pa kihistoria maana wanamwamini Yesu aliye hai rohoni kila mahali.
e) sitaki kujadili tena mawazo yako ya ajabu juu ya uyahudi lakini lan#bda ukumbuke nimeeleza hapo juu: kumheshimu Yesu ni jambo katika mikondo ya dini yao - lakini kwa seehmu ya wayahudi wote tu.
kama unapata kujisomea kuhusu tofauti kati ya mikondo ya uyahudi ndani na nje ya nchi ya Israeli leo utaelewa.
 

waroma kupitia pilato alinawa kikombe cha kifo cha yesu, sio?
 
 
samahani humo kuna aliyekuja na koran ingawa hakuwa anajua kusoma wala kuandika, hivi koran iliandikwa na nani ?


umeelewa nani kaandika biblia au unakurupuka kubishana
are you serious to know or just playing the notorious games ????
 
Kwani ISRAEL ni taifa?
Inaonekana. Ukijadili dola la Israeli lililoundwa mwaka 1948 ni nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa hivyo ni taifa.

Swali la "Israeli" kwa maana ya Biblia heri tuache kando maana hatuko uwanja wa dini.
 
umeelewa nani kaandika biblia au unakurupuka kubishana
are you serious to know or just playing the notorious games ????

kama kuna koran ambayo iko katika maandishi wakati muhamad amefariki hajui kusoma wala kuandika na wewe hutaki kujisumbua kujua aliyeandika koran, sasa unanilaumu kitu gani kwa mimi kutojua aliyeandika bible? niambie koran aliandika nani? nani ali-proof read?
 

Huenda utakwa umedumaa kiakili hicho ulichoweka hapo ni mere self-pleasing opinions na conspirancy theories za watu ambao wamekuta biblia na koran zipo na zinatumika miaka elfu iliyopita. Kama una concrete evidence na facts zaidi ya huu usanii naomba uniletee. Naomba utegue hiki kitendawili, simulizi zinasema muhamad mwenye koran hakujua pen inashikwaje wala maandishi yana maanisha kitu gani, nani aliandika koran, ni lini iliandikwa ? nani ali-proof read ? Kama hutakuwa na ushahidi ambao ni independent mi nitakuona mjinga na mlevi wa dini unaeogopa kujihoji huku ukitaka wengine wajihoji.
Ukimaliza hapo naomba uthibitishe kuwa haya maneno ya kwenye koran muhamad aliambiwa na mungu na si shetani.
Pana tetesi kuwa uislam ni project catholic, sijui lengo la hiyo project fanya uchunguzi utakachogundua let me know, si unakumbuka kisa cha muhamad na padri.
 

He he he heee! Hii thread imetokea huku? Kweli unaweza kuanza kitu lakini anayemalizia ni mwingine!
Bwana so notorious huenda anahitajia kuelimishwa hapa na sioni vibaya. Kutokana na historia na rubaa za Kiislamu, Quran iliandikwa miaka 17 hivi baada ya kufa bw Muhamad, zama za naibu wake wa tatu, Othman. Kabla ya hapo Qur'an ilikuwa inahafidhiwa katika mioyo na wengi wa wafuasi, zaidi ya 100 wakiihafidhi yote na waliobakia walikuwa wakihifadhi mafungu mafungu-nusu, robo, nk. Alipoona wafuasi wengi wanauawa katika vita, Othman, akahofia isije wengi wa wanaoihafidhi yote wakatoweka. Ndipo akawakusanya walioihafidhi yote na wale waliohifadhi mafungu na mwandishi akawa anaandika baada ya maafikiano ya wote. Baada ya kumaliza, zikatolewa nakala kadhaa kutokana na ile iliyokubalika kwa wote. Hizi zikatawanywa katika miji mikuu iliyokuwa chini ya dola la Kiislamu: Cairo, Kufa, Nahawand, Damascus etc. Ikaamuriwa kuwa hizo nakala zilizokubalika ndiyo ziwe hizo hizo tu zitakazosomwa na kuigwa.
Kwa upande huu utaona kuwa Qur'an, tofauti na Biblia, huenda ikawa more authentic (hapa nakusudia katika njia ilivyopokewa na kuhifadhiwa, si kwa imani, hiyo nakuachia mwenyewe).
Ama kuhusu Mtume Mohammed kujua kusoma au kutojua, kwa kweli hili ni jambo lenye tofauti baina ya Waislamu. Kwa vyovyote vile, wale wanaokubali dhana kwamba hakujua kusoma na kuandika ni kwa sababu moja tu: ili watu wasidhanie aliyokuja nayo ameyatunga na kuyaandika yeye. Otherwise, alikuwa anajua kilichoandikwa na kuna ushahidi mwingi juu ya hilo ukipekua vitabu.

N.b. Tofautisha kati ya ku hafidhi na kuhifadhi. Walio hafidhi ni kwa moyo, na waliohifadhi inawezekana kwa kuandika baadhi ya mafungu na aya. Si kweli kuwa hata baadhi ya vifungu na aya za Qur'ani hazikuwa zimeandikwa popote kabla ya Othman!
 

Mkuu Sijali, hapo kwenye uandishi nimekusoma, ila naona kuna mambo umeandika bila kushirikisha ubongo wako kidogo, mosi unasema koran iliandikwa miaka kumi na saba baada ya kufa muhamad nani alithibitisha kuwa kilichoandikwa ni sahihi? the only ultimate authority alikuwa marehemu muhamad, lakini unasema pamoja na kutokujua kusoma alikuwa anajua kilichoandikwa hiki ni kitendawili nacho inabidi ukitegue, pili unasema muhamad kutokujua kusoma wala kuandika kuna tofauti baina ya waislamu, tofauti inatokea wapi wakati koran inasema tumemleta kwenu asiyejua kusoma na kuandika au kuna koran ngapi mkuu? tatu unasema hakutakiwa kujua kusoma na kuandika ili watu wasiseme hayo maneno kayatunga mwenyewe, hii ni hoja ya kitoto, kweli kabisa na wewe unaamini kuwa asiyejua kusoma wala kuandika hawezi kutunga na kusema uongo? its a milky pre-emptive sentiment.
 
Hao wakristo hukuwaona??? au ndio ushahidi wao ni independent??

Hukuangalia kitu lau ungaliangalia usingalikuja na huu utumbo

Hukunielewa mkuu mimi sijaegemea upande wowote nimesema hao walioandaa hayo masimulizi wote ni watoto wa juzi wanayotoa ni maoni yao ya kufurahisha nyoyo zao na kuimarisha imani zao, usigeuze maoni ya mtu kuwa ukweli tafuta ukweli wewe mwenyewe, ndo maana ya kuwa na ubongo mkuu. siku ya hukumu huwezi kujitetea na clip za youtube. naomba urudie kusoma nilichoandika halafu unijibu maswali yangu kwa upole.
 

I think the perfect preservation of quran need not to be evidenced by any debate but the reality on the ground, number one muhamad the author of the verbal quranic version knows nothing about the written quranic version this makes the perfection of the written one void and null, it is not only because he was the illiterate at his best but he was long dead when othman decided to put the verbal one in writing, number two if at all the verbal and written one is perfectly preserved why do you have the salafist, suni, shia, sufi, ahmadiya, the list is endless.
You need to have independent mind otherwise you will be weak and subordinated forever, a headless follower.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…