My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
Niliuliza swali kama hili kwa hawa Mapopoma wa Lumumba sikujibiwa. Maspy wa Marekani 63 wapande ndege moja utafikiri nao wako kwenye payroll ya Makonda?
Uzuri Iran hua haiwacheleweshi hao wadudu wa US,mwaka jana waliwadaka kadhaa.View attachment 1320625
dodge
Ndio tunatakiwa kuelewa kama majakaa wamewaua watu walokuwemo kwa ndege kwa makusudi ila sijajua kwasababu zipi ?!Iran walinishangaza eti wamefananisha ndege na cruise missile. Yaani ndege ya abiria ilivo na speed ndogo vile na radar signature kubwa washindwe kuitofautisha na kombola. Hata heat emission ya ndege ni ndogo kuliko ya missile
Uzuri Iran hua haiwacheleweshi hao wadudu wa US,mwaka jana waliwadaka kadhaa.View attachment 1320625
dodge
Sitaki kuamini kwamba ndege iloruka kutoka katika uwanja wenu wandege hata robo saaaa haijapita uifananishe na kombora ama ndege yakijeshi...Logic but sizani kama CIA wanaweza kuwa 63 ndani ya ndege moja uo ni uongo labda walikuwepo watu kama 3 pengine mmoja. kama ni kweli kitengo cha usalama cha marekani kiruhusu wasafiri wote pamoja basi kuna haja ya kuwafanyia uchunguzi waliowatuma.
watu hawajali kama wewe unavojaliwe mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
unashangaa iyo, al-shabab anajitoa muhanga anaua wasomalia 200 na mzungu mmoja, target ni uyo mzungu,we mtoa mada una akili matope, yaani uue watu zaidi ya 150 kwa ajili ya maspies wawili au watatu
Hio Ndogo NATO Waliua Mamilioni Sababu Ya Gadaffi Wakaua Malaki Sababu Ya Saddam... n.k...munashangaa iyo, al-shabab anajitoa muhanga anaua wasomalia 200 na mzungu mmoja, target ni uyo mzungu,
Hilo bao lako bora wangelipigia puli au wangetumia ndomu tu.wewe jamaa ujui hata unacho comment umejaa ushabiki post zako bila uchambuzi.siwezi kukulaumu na ulipo zaliwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo bao lako bora wangelipigia puli au wangetumia ndomu tu.
dodge