Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,004
- 37,416
Ukiona mtu ama muislam anasema kwamba kuvaa hijab ni mila za kiarab eidha sio muislam ama hajui lolote kuhusiana na uislamWakurd ndio waislam pekee marafiki wa kweli kwa wakristo. Inasemekana wale mamajusi waliofuata nyota Bethlehem kumuona Mungu Yesu walikuwa wakurd. Jonah alikuwa kwa wakurd ninevi leo Mosul kwa wakurd. Na ndio wale wanaandamana Iran kukataa kuvaa hijab wanasema ni mila ya kiarabu. Fighting spirit ya wakurd ipo juu hasa wale wanawake wa Kobani.
God bless Israel and protect Israel
God bless and protect America.
God bless and protect the kurds.
God bless and protect Saudi Royal family.
Alwaz Malaria 2 Adiosamigo Bwana Utam ITR
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitotosema zile ballistic ukitizama video, zinavyoshuka kwa kweli Iran ipo mbali kijeshi, ile ni onyo kamili.
Duh!...hawa Mossad wana kambi mpaka Iraq?...Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Sio mossad tu hata tiss usishangae wakawa na kambi uganda kenya nk nanikawaida piaDuh!...hawa Mossad wana kambi mpaka Iraq?...
Nawa shangaa sana watu kuuona uarabu ndio uislam na kinyume chakeWakrudi ni waisilam hata kabla ya Ottoman kuanzishwa mkuu na uislam sio mila za waarabu kwa sababu hata hao waarabu dini waliletewa tu kama tulivyo letewa sisi na kipindi wanaletewa dini iliwakuta wana mila zao wakarazimika kuziacha ili wafuate hiyo dini.
Wakrudi wanachukiwa kwa sababu ni jamii yenye itikadi kama za Wayahudi yaani kujiona wao ni bora kuliko watu wengine kwa sababu baba wa Iman nabii Ibrahim alikuwa mkurdi.
Wakrudi wana akili za kawaida sana maana upande wa Teknolojia hawapo na kwenye suala la biashara na uchumi pia hawapo.
Sijaziona asee ila iran iko mbali sana mzee sio kitoto
Unadhani wamagharibi wanapenda kuiona iran ila wanajua wakiingia ile kazi watakayokutana nayo sio maskhara
Hehee hatari sana aseeee yaani haya madude yapo kwa ajili ya kuuana heheeee 😀
View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk
Sijui hizi ni ballistic za aina gani, halafu accuracy yake na speed ni ya ajabu na kushangaza, ukitizama video vizuri na kwa umakini utaona missiles zinavyoshuka lakini hio speed ni hatari.
Hata kama kungekuwa na air defense system isingeona chochote,
Kila nchi ina haki ya kujilinda dhidi ya wavamizi. Missiles ni kwa ajili ya ulinziHehee hatari sana aseeee yaani haya madude yapo kwa ajili ya kuuana heheeee 😀
Kabisa ukikaa kiboya boya wahuni wanakuvamiaKila nchi ina haki ya kujilinda dhidi ya wavamizi. Missiles ni kwa ajili ya ulinzi
Pkk oparetion zao nyingi wanazeendesha nje ya Uturuki hivyo ni ngumu kuwamaliza.Mkataba wa Sykes-Picot kati ya Ufaransa na Uingereza ndio uliowanyima nchi Wakurdi.
Wakurdi hawapendwi na wahafidhina wa Uturuki kabisa nadhani uasi wa PKK unachangia hili, ila inashangaza Jeshi bora la Uturuki kushindwa kuimaliza PKK.
Baada ya Vita ya Syria kukolea, Assad aliondoa majeshi yake yote yaliyokuwa maeneo ya wakurdi hasa karibu na mpaka wa Uturuki hivyo Wakurdi wakabaki kupigana na Isis tu na sio Assad, nadhani alilenga kuwakera Waturuki.
Ila hapo Iraq Wakurdi wana sauti kiasi ndio maana PKK imejichimbia huko, hata kuweza kupata Rais wa nchi kutoka jamii yao ni ishara ya ushawishi wao mkubwa.
Mkuu kwani ni jambo geni kwa nchi fulani kuwa na ofisi za siri za kijasusi ndani ya nchi zingine?Duh!...hawa Mossad wana kambi mpaka Iraq?...
Tatizo watu wengi hawana elimu ila bado wanajitia ujuaji.Nawa shangaa sana watu kuuona uarabu ndio uislam na kinyume chake
Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk
Sijui hizi ni ballistic za aina gani, halafu accuracy yake na speed ni ya ajabu na kushangaza, ukitizama video vizuri na kwa umakini utaona missiles zinavyoshuka lakini hio speed ni hatari.
Hata kama kungekuwa na air defense system isingeona chochote,
Kwani hujui wakurdi (Kurdistan) wana mahusiano mazuri na Israel au unakaza fuvu?Mossad kabisa wakaweke base Iraq
Long time no seeNyie ni midini tu. Na hatuwataki huku Bunyokwa kwa wayahudi weusi.
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Base ya Mossad😂😂😂😂
The Islamic Revolutionary Guard Corps of Iran is also claiming Responsibility now for the Missile Attack on the City of Aleppo in Northern Syria, stating that it Targeted several ISIS Facilities which contributed to the Terrorist Bombing against the Memorial Route for the Assassination of Qasem Soleimani in the City of Kerman which resulted in the Death of over 100 Iranians.
Nadhani hata air defense system zingekuwepo isingesaidia.Kasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.
Unataka watu tushinde Jf kwani tunalipwa humu?!Nyinyi mbuzi, mmekimbia uzi
Na wewe MT urudi hapa na id yako ya MK
Kwa hiyo Telegraph ni ya wavaa kobazi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=lDzF4KjLmuk&embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.jamiiforums.com%2F&source_ve_path=MjM4NTE&feature=emb_title
Vyombo vilivyoripoti vime report taarifa inayodaiwa na Iran lakini ushahidi kamili ungepatikana kwenye 'aftermath' ya shambulizi.Vyombo vyote vya habari vimeropoti kuwa makao makuu ya kijasusi ya Israel yaliyoko Kurdistan yamepigwa ila ww mlala njaa kutoka magwepande unaleta ngonjera,tena makao makuu yenyewe yalikuwa karibu na ubalozi wa Marekani.
Zinatunguliwa Iskander na Kinzal Hypersonic za mrusi sembuse hizo ballistic missiles za IranKasi yake ni kubwa kiasi hulioni kipindi linatua badala yake unasikia mlipiko tu.