Aise hapa iran kajambia mkeka ngoja tusubr second season duh
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu.
Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote.
Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.
Technolojia haidanganyanyi siku hizi.
IRAN hapa hawezi kukubali ata wabweke vip
Mleta uzi kajichanganya Iraq government yenyewe imekataa hakuna mwanajeshi aliyeuawa'Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.'
Nyie si mnasema makombora ya Iran hayajaua mwanajeshi yoyote yule wa US na Washirika wake?
Sasa hao wanajeshi unaowasema wewe umewatoa wapi?
dodge
'Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.'
Nyie si mnasema makombora ya Iran hayajaua mwanajeshi yoyote yule wa US na Washirika wake?
Sasa hao wanajeshi unaowasema wewe umewatoa wapi?
dodge
Mwambie basi Iran aombe radhiLamsingi kama ni kweli aliidungua kwa bahati mbaya aombe radhi azilipe família za wahanga basi
Haaaa ukitaka kujua wamarekani weusi wamechanganyikiwa na makombora ya jana hebu angalia upuuzi alio uandika huyu.
Yaani washindwe kumvamia baada ya kuishambulia na kuiharibu kambi ya gharama ya wanaojiita wababe wa dunia.
Waje kuivamia kwa sababu ya ndege tena iliyokuwa ndani ya anga yake.
Kama waliitungua ni bahati mbaya hata marekani alisha idungua ndege ya abilia kimakosa kwa hiyo ni kawaida.
Lamsingi kama ni kweli aliidungua kwa bahati mbaya aombe radhi azilipe família za wahanga basi
Lakini hayo mengine unayo yawaza nadhani ni ndoto za alinacha.
Soma tena hata Kichwa cha habari huenda ukaelewa.'Na inasemekana si Wamarekani tu waliokufa kwenye mashambulizi ya Irani ata baadhi ya wanajeshi wa mataifa ya Ulaya waliokuwa wakiwasaka magaidi wa ISIS.'
Nyie si mnasema makombora ya Iran hayajaua mwanajeshi yoyote yule wa US na Washirika wake?
Sasa hao wanajeshi unaowasema wewe umewatoa wapi?
dodge