Iran and new Advanced Smart bombs

Kuwa na maandishi ya Kiarabu hakumaanishi ni Waarabu hata hapa kwetu basi utasema sisi wa Latin kwa kuwa tunatumia maandishi umya Kilatin. Au ulikuwa hulijuwi hilo?

Tanzania asilimia kubwa sana wanafahamu Kiarabu na maandishi ya Kiarabu kuanzia wadogo lakini haijawa mchi ya Kiarabu. Hata hapo maandishi ya Kilatin yalipokuwa hayajafika maandishi yaliyotumika hata kuandika Kiswahili yalikuwa Kiarabu lakini haijawa nchi ya Kiarabu.

Hiyo argument yako ni muflis. Kwani asilimia kubwa ya Wafaransa wana asili ya Kiarabu lakini haijawa nchi ya Kiarabu. Asilimia kubwa ya Wajerumani ni Waturuki lakini haijawa nchi ya Kituruki.

Pakistan wanatumia maandishi hayo hayo ya Kiarabu lakini siyo nchi ya Kiarabu.

Iran siyo Waarabu. Usitake kulazimisha.

Wewe Mtanzania una ustaarabu (Arabic influence) lakini si Mwarabu, ni vivyo hivyo kwa Wairan, wana ustaarabu (Arabic influence) lakini si Waarabu.
 
Nadhani kujibishana na wewe ni ngumu sababu ulichokipanga ndio maamuzi yako ila nakushauri chukua task ukapate somo kwa daktari wako kuhusu hao jamaa.
Mm mwenyewe nasomea hio kozi Kwahiyo huwezi nidanganya.
Sio kila mtu aliye shoga ana hormone za kike zimemzidia.
Wengine risk behaviours zinawafanya wawe vile mzee baba,generalizing yako ina makosa aisee.
 
Bro nimekugundua unaongea kiuhemko sanaaa mpk unasikitisha.
Halafu punguza ujuaji mwingi.
Wahajemi wana vipawa vya akili kutuzidi.
Sawa tuseme kuwa wana copy lakini wanacho copy hukiboresha wao kwa vipawa vyao.
Mfano angalia system ya ulinzi ya Khordak.
Na hyo mpya wanaoiita "Yasin" wanaoiunda sasa inasemekana kufanania na s-400 ya Russia.
Lakin wameiboresha kwa kipawa vya akili zao.
We hujiulizi kwann Israel inatuma majasusi kisiri kuua wanasayansi wa Iran???We wadhan kuwa wana vipawa vdogo wale???
Tanzania akili zetu za kukariri toka tunafundishwa mfumo wetu wa elimu kukaririshana usome ili ufaulu mtihani.Hatuna vipawa kama vya jamaa hawa wahajemi kwahyo acha kuleta mifano mfu.
Sabuni tu zinatushinda kutengeneza twachubuana mikono kwa mipuff mara family detergent tutaweza advancement of technology wanaoifanya Wahajemi???
Au ww unachukulia kitu simple kuki advance kitu???
Israel alinunua F-35 fighter jets 1st and 2nd generation na kuzi advance 4th generation kama sikosei.
We wadhani advancement aloifanya Israel ni ndogo???
Asa hvyo ndivyo Iran anavyofanya.
Punguza ujuaji mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…