Iran and new Advanced Smart bombs

They keep on holding until that happen.


If that's so, then the world peace is at stake, Israel is among the most powerful countries with advanced weapons and technology,

To do so, Iran has strive hard otherwise the remarks are just lip service.
 


Wazee wa kazi hao wanapangwa kwenda Yemen.

Ngoja kwanza logistics zikamilike halafu ndio utawasikia wababe wakimuuliza Iran haya ulikuwa unasemaje.
 
Kuna wasiwasi mkubwa India kuisaliti Israel kwa kuwapa Iran hizo smart bomu
 
Aiseed hawajamaa wanatafutiwa visa sidhani kama kwa hizi purukushani za kukamatwa kwa oil tanker na kutunishiana misuli watabaki salama ,,,,,ingawa kwasasa inaonekana vita zakizamani za kupigana kwa silaha zinakoma ila dalili za hujuma kubwa na hatari zaidi ya vita zinaonekana
 
Nani alikujaza ujinga na wewe ukakujaa kuwa eti Wairan ni Waarabu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
I like Iran.I wish I was Iranian.It's such a proud and independent nation.There is no country like it.China follows it,but at a distance.
 
Asa unafananisha Iran na Tanzania.
Zao la wahajemi lina talanta unakosea unapofananisha na la Tanzania futa kauli.
Wanajiweza wale ww usiwachukulie poa.
 
Kwan ww algebra unayoitumia ya nani???
Au kujitia ujuaji mwingi???
Halafu unaongea kwa mahabba we jamaa,
USA the world peace ddestructor ni nchi yenye dini safi????
Nchi ipi yenye dini Safi unayoisemea ww???
Si ndio hawa hawa wanaoharibu amani ya mataifa ya watu tulivu ili wapate kunyonya???
Haki zipi wanazifata wao!??
 
Sio kila aliye shoga ana hormone za kike kwa asilimia kubwa.
Punguza uongo hata science huijui.
Wengine wana risk behaviours ndio maana wanakuwa machoko.
Mungu hakuwaumba mashoga wenyewe wamependekeza kuwa mashoga.
Hakuna mtoto alotoka tumbon mwa mamaye directly akawa amezaliwa shoga tayari usimsingizie Mungu.
 
Huyu Mbritish alotekewa meli yake na Iran ama??
Hana jipya huyo arudi tu akale saltybae na whine atulie.
 
SASA UTAFANANA NAO WEWE AMBAYE HATA MANATI IKIFUNGULIWA UKIAMBIWA UIFUNGE UNAANZA KUTAFUTA COMPENDIUM?
 
Nadhani kujibishana na wewe ni ngumu sababu ulichokipanga ndio maamuzi yako ila nakushauri chukua task ukapate somo kwa daktari wako kuhusu hao jamaa.
 
SASA UTAFANANA NAO WEWE AMBAYE HATA MANATI IKIFUNGULIWA UKIAMBIWA UIFUNGE UNAANZA KUTAFUTA COMPENDIUM?
Tatizo lenu makidi humu mnajua humu kila mtu ni mburura sababu hujui behind computer kuna kitu gani mtu anakifanya.. ingekuwa easy ningekualika Ngome
 
Did algebra ishawahi kukusaidia kitu maishani mwako? Akili ya mtu mmoja katika nchi haifanyi jamii yake yote iwe na Akili sawa.. even Tanzania kuna mtu aligundua Mpemba effect but haifanyi Kuwa Watanzania ni wanasayansi bora... vitu vinavyowaweka watu juu ni mmoja mmoja haswa wagunduzi wanaopata support Tanzania list ya wagunduzi ni kubwa sema support ya government hatuna.. issue za mabomu silaha n.k vishagunduliwa kitambo kwa sasa vinaboreshwa tu.. issue ya Iran hana aligundua zaidi ya ku smuggling tu silaha from different countries na hilo lipo wazi Iran bought everything including risasi kama hujui... even reverse technology wanasaidiwa na Chinese sema wanaown project nzima.. if unahutaji knowledge just ask tutakuteach tu ubishi na upumbavu utakukondesha tu... Iran ni majigambo tu ndio maana nakuambieni hata Tanzania tunaweza sema tuna hiki na kile tunatengeneza wenyewe but behind ya ukweli ni copy and paste
 
Nani alikujaza ujinga na wewe ukakujaa kuwa eti Wairan ni Waarabu?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hii issue ya Iran inabidi kuwekwa sawa. Inapozungumziwa Iran ni nchi yote kwa ujumla yaani jamii nzima ya wananchi waishio humo... sasa Iran kuna Parsi, Arabs,Jews na Ueropean waliokuwa Russia na wakurdi pia kibao ila katika jamii nzima mchanganyiko Parsi ndio idadi kubwa so Mtu akiwaita Iran waarab sio mjinga kwani Kiarab ni sehemu ya lugha ya Iran haswa maandishi yao. So Iran imemezwa haswa kuongea wanaongea Kiparsi kama lugha kuu na kule pande zenye waarab wengi wanataka kujitenga kabisa na Iran.

Iran Waarabu wapo ni nchi yenye mchanganyiko wa makabila mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…