Iran imejibu mapigo. Ayatollah ashambulia kambi ya jeshi ya Marekani huko Bahrain

Iran imejibu mapigo. Ayatollah ashambulia kambi ya jeshi ya Marekani huko Bahrain

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,449
Reaction score
6,709
Wakuu,

Haya ndugu zangu Iran kashaanza kujibu mapigo huku

Hii kambi ya Jeshi ya Marekani huko Bahrain imeshambuliwa na Iran




iranbahrain.png
 
Sasa hata sijui nani anampiga nani.. Kila upande naona ni propaganda
 
Muda wa kujaza bando umefika round hii hakuna kusimuliwa niunganishe na smart tv yangu nipate updates walionunua dhahabu waendelee kuagiza bia
 
Back
Top Bottom