Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,834
- 14,469
- Thread starter
-
- #21
Mimi naleta ukweli wakanisa wanatuletea propogandaTatizo humu kila mtu muongo muongo.....Kila mtu anaandika kwa hali yake ya ushabiki!!!!
Hakuna kitu kama jet za Iran zinaruka huo ni uongo hawana ubavu wa kupambana na AIF maana toka vita vianze wamefyata Mikia yao maana hawana jinsi!!Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
HuzuniView attachment 3376332View attachment 3376333View attachment 3376334View attachment 3376335View attachment 3376336View attachment 3376337View attachment 3376338View attachment 3376339View attachment 3376340View attachment 3376341View attachment 3376342View attachment 3376343View attachment 3376344View attachment 3376345View attachment 3376346View attachment 3376347
Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.Hakuna kitu kama jet za Iran zinaruka huo ni uongo hawana ubavu wa kupambana na AIF maana toka vita vianze wamefyata Mikia yao maana hawana jinsi!!
Video yenyewe hata haionyeshi vizuri haina sauti. Video fupi haieleweke hata kama zinaruka zinaenda wapi? Maana hatujasikia zimepiga mji gani huko Israel labda utuambie zote zimepopolewa na Majeshi ya Israel!!!!
Tukiwaambia vijana, bhange mbaya, muwe munatuelewa.
Ai kichwa chakoMimi naleta ukweli wakanisa wanatuletea propoganda
View: https://youtube.com/shorts/yBw294kJpVQ?si=9xXLHqfRbwS5ecrk
ChaiHizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.
We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan
Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
We unafikiri kwa nini ndege za Israel zililipuwa jengo la TV na Radio station ya Iran, hawataki Dunia ifahamu kinacho endelea dhidi ya Israel.Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
Nakubaliana nawe lakini sioni Kama Turkey inaweza kuunga mkono upuuzi huu!!!Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.
We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan
Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
Kwa taarifa yako tu kuna wayahudi zaidi ya 200,000 wanarudi nyumbani ambao kati ya hao 3,000 wamefika leo hii na Meli!! Na hao 21,000 sijui umewatoa wapi hao ni wageni kurudi kwao haina shida ni kawaida kwa Wiki hii tu watu zaidi ya 200,000 wanaingia israel kwa shangwe kama unavyowaona kwenye video!!!Hizo ndege Iran karusha makusudi jana kuonyesha anga lake liko safi hakuna wenye uwezo wa kuwazuia kurusha ndege au Missiles.
We akili zako unadhani hizo ndege za srael zinatokea israel, karibu Iran atawasukumia Missiles hizo nchi zinazo msaidia Israel kuwachia base zao zitumiwe na israel UAE, Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Jordan na Turkey, Azerbaijan
Hi ni official 21,000 waisrael wameisha rudi kwenye nchi zao original safi sana Iran kamatilia hapo hapo
Hapo ndipo akili yako ilipoishia?We unafikiri kwa nini ndege za Israel zililipuwa jengo la TV na Radio station ya Iran, hawataki Dunia ifahamu kinacho endelea dhidi ya Israel.
Reading between the lines unaonekana wazi wazi analytical mind yako ni dismal kabisa, ndio maana unakimbilia kutumia lugha za mitaani, huna uwezo wa kujenga hoja zenye mshiko!!Hapo ndipo akili yako ilipoishia?
Ni muda gani utawala wa iran utakaribia kuanguka?Hizi propaganda msisisikilize mkuu.
Hizbollah anajua kabisa Iran ikianguka nayo imeanguka.
Na ilisema utawala ukikaribia kuanguka ndio wataingilia.
Hizbollah kinamfunga makubaliano ya ceasefire aliyosaini na Israel kwa shinikizo la serikali yake kuu.Ni muda gani utawala wa iran utakaribia kuanguka?
Kwanini wasubiri na kwanini wadisaidie sasa?