Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,761
- 14,293
Labda zinapaa kwenda hell kumpeleka Ayatollah Khamenei wenu akaungue kwa dhambi ya kut*mba watoto wadogoMlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
Wenenda kapime akili zako unaonekana kama hauko sawaLabda zinapaa kwenda hell kumpeleka Ayatollah Khamenei wenu akaungue kwa dhambi ya kut*mba watoto wadogo
View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1935735621751889955
Mlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
Naona muisrael umechukia kwelikweli, pole sana ndugu yangu.Ziende wapi we mnduku?
Ayatollah kichwa kiko kwenye mikono kumaliza ujinga wake we uko huko chanika mzambarauni unasema ndege zinaondoka.
Kwenda wapi
Wenenda kapime akili zako unaonekana kama hauko sawa
Hizo fighter jet zimepaa bila kurejea hapo news ni kuwa zimehamishwa kwa usalama au viongozi wameenda kujificha OmanMlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
Labda zinapaa kwenda hell kumpeleka Ayatollah Khamenei wenu akaungue kwa dhambi ya kut*mba watoto wadogo
View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1935735621751889955
Kucontrol si lazima iwe kuzuia. Hata kuwa na access ya taarifa ya kila ndege, abiria waliomo na mahali ilipo, hiyo ni control piaMlio sema Israel ana control anga tukawambia hamna lolote Missiles zinaruka. Sa hizi hapa fighter Jet za Iran zinaruka hebu nipeni hapo jibu labda zinaelekea kwenda piga Israel. Leo tena karibu mda huu
View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
Hizi propaganda msisisikilize mkuu.Nimeshangaa leo Hezbollah wanasema hatutamsaidia Iran kwani wakati sisi Israel anatupiga Iran walikuwa wapi? Jisomee na wewe hapo chini.
Kumbe kila mtu anatakiwa kushinda mechi zake?
Click hiyo MSN ina kila kitu.
Hahahaha wacha ku copy and ku paste eti pilot wamekimbia wapi waende hahaha. Hizo fighters jana zilikuwa zikiruka we unaleta propoganda za hao ma pilot siku walipo enda ku attack Iran si ndio nakuambia we hujui kizungu kazi yako ku copy and paste. Hio habari nilio leta ni jana we unaleta uwongo wa Israel siku walipo enda kuvamia Iran.Hizo fighter jet zimepaa bila kurejea hapo news ni kuwa zimehamishwa kwa usalama au viongozi wameenda kujificha Oman
'Iranian pilots fled on sight': Israeli Air Force pilot reveals details from first strike over Iran
'Fighting 1,500 km from home isn’t a walk in the park,' says IAF pilot Maj. N’ of the first strike in Iran; 'We saw Iranian jets take off—then flee and vanish, and we stayed two hours and could’ve gone back—again and again'
“This is my correction for October 7—this time we were the initiators,” says Maj N. (31), an F-15 pilot from Squadron 133, one of the first to take part in the unprecedented Israeli airstrikes over Iran at the start of Operation Rising Lion Now, he shares what it was like to wait for the green light, the challenges of flying deep into enemy territory, and the deeply personal sense of “correction” for the failure that launched the war.
Iran sio Israel apeleke ndege zake kwa wanafiki. Israel yeye ndiye anatumia nchi hizo jiran na Iran ku attack Iran afu walivyo wanafiki hao viongozi wanajidai kama vile kuishambulia Israel kwa maneno ya kanga hahaha kumbe ndege zinatokea kwao kupiga IranLabda ziende kwa kusogea na kutua nchi ya karibu kisha zijaze fuel then zishambulie kwa kushtukiza then one suicide mission no return to Iran anymore.